ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life
Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa katikati ya Interview amepigwa suprize ya Gari toka kwa Madee gari aina ya Benzi kwa kutoa wimbo wake huo
Dogo Janja ameshindwa kujizuia na kujikuta analia sana halio ilo pelekea interview yake isimame kwa Muda ingawa Diva anasema alijua toka mchana
Hongera Madee endelea na Moyo huo huo hongera Dogo Janja kumbuka mguu mnyoofu haukubalu kwenye kiatu kilicho pinda!