Vijana wa kitanzania wanaoshinda kwenye misafara ya shambani kila kukicha South Africa, Pakistan, India, Afghanistan, Nigeria, Turkey, Italy, Greece, na sehemu zingine tata basi hao ni wazungu wa unga. Wengi wao wanakwenda kubamiza unga huko wakifanikiwa wanakuja na magari kuuza kwenye show room na kujipatia pesa zao huku wengine wakisingizia wana biashara za kusafirisha mizigo n.k. ili tu kuwalostisha watu. Kwa kiasi kikubwa hapa kwetu serikali pia inachangia ili janga kwani hawa watu ni rahisi kuwapata maana biashara hiyo iko rampant kwa muda mrefu sasa na hao watu wanajulikana.