Madawa ya kulevya inakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madawa ya kulevya inakuwaje?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by RUTARE, Feb 17, 2012.

 1. R

  RUTARE Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikia kupitia DW radio kwamba asilimia kumi na tano15% ya pato la Taifa la Afghanstan kutokana na madawa ya kulevya na kwahiyo inakuwa vigumu kupiga vita thabiti dhidi ya madawa ya kulevya hapo kuna kitu sijaelewa hayo madawa yanachangiaje kwenye pato la taifa wakati siyo biashara halali? msaada tafadhali!
   
Loading...