Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 13, 2013 #101 AmKATRINA said: Itakuwa maana kuliwaka kipindi flani. Click to expand... hahahaha,hehehehe
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Jun 13, 2013 #102 kiwatengu said: Huyu ndugu Erickb52 yu wapi? siku lukuki sijamwona yeye pamoja na wakeze Click to expand... Mkuu kiwatengu Erickb52 alikwenda Austria (siyo Australia) atakuja next month ila akipata chance ya kuingia net utamuona hewani. Nyuura? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: Huyu ndugu Erickb52 yu wapi? siku lukuki sijamwona yeye pamoja na wakeze Click to expand... Mkuu kiwatengu Erickb52 alikwenda Austria (siyo Australia) atakuja next month ila akipata chance ya kuingia net utamuona hewani. Nyuura?
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jun 13, 2013 #103 Filipo said: Pepo ulilonalo linaitwa Beizebul! Mkuu wa mapepo! Toka Shetani!!!!! Click to expand... Mwenye mali huyoo...
Filipo said: Pepo ulilonalo linaitwa Beizebul! Mkuu wa mapepo! Toka Shetani!!!!! Click to expand... Mwenye mali huyoo...
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jun 13, 2013 #104 St. Paka Mweusi said: Kama unaanza kunionea wivu basi naamini kabisa kuwa kuna penzi hapo,yule binti hata alipokimbilia mimi sielew,i kaniacha kwenye mataa.Yaani nina mkosi utafikiri nalala na Bundi... Click to expand... Si unajua kile kipindi mambo yalikuwa hayajatulia?.... Sasa hivi mume wangu amejirudi sana na tunatarajia mgeni very soon
St. Paka Mweusi said: Kama unaanza kunionea wivu basi naamini kabisa kuwa kuna penzi hapo,yule binti hata alipokimbilia mimi sielew,i kaniacha kwenye mataa.Yaani nina mkosi utafikiri nalala na Bundi... Click to expand... Si unajua kile kipindi mambo yalikuwa hayajatulia?.... Sasa hivi mume wangu amejirudi sana na tunatarajia mgeni very soon
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Jun 13, 2013 #105 marejesho said: Si unajua kile kipindi mambo yalikuwa hayajatulia?.... Sasa hivi mume wangu amejirudi sana na tunatarajia mgeni very soon Click to expand... mh..........!!!!!!!!!!!!!!! kwa hiyo mapnzi yamekwisha..?? Ila hamna noma Mamndenyi ataziba................... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
marejesho said: Si unajua kile kipindi mambo yalikuwa hayajatulia?.... Sasa hivi mume wangu amejirudi sana na tunatarajia mgeni very soon Click to expand... mh..........!!!!!!!!!!!!!!! kwa hiyo mapnzi yamekwisha..?? Ila hamna noma Mamndenyi ataziba...................
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jun 13, 2013 #106 St. Paka Mweusi said: mh..........!!!!!!!!!!!!!!! kwa hiyo mapnzi yamekwisha..?? Ila hamna noma Mamndenyi ataziba................... Click to expand... Ha ha ha... Mamndenyi tena? Haya nakutakia maisha mema akikubali... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi said: mh..........!!!!!!!!!!!!!!! kwa hiyo mapnzi yamekwisha..?? Ila hamna noma Mamndenyi ataziba................... Click to expand... Ha ha ha... Mamndenyi tena? Haya nakutakia maisha mema akikubali...