Mi sisemi........
au una hamu ya
Asante sana mamito charminglady kwa kukaimu nafasi yangu ya kumvisha taji Miss ChitChat wa Mwezi November Ciello.
pia mamito nashukuru sana kwa kutujulia khali tangu tuko Tanga.
Mamito missing u sanaaaaaaaaaaaa..................
chezeiya mimi weye?? it was fun kwakweli! niliifurahia siku ile! nipo mwaya napigika kama kawa, kama dawa! itabidi tru-arrange tena, tukae mkao wa kungu la comoro! nataka niwe legeee, si unajua maeneo yale huwa linakuwa jimbo huru?? vigezo na masharti kuzingatiwa!Yani hunishindi mimi mamito cacico.
Asante nimeshapoa Shosti.
Ila nikikumbuka mambo yako........nabaki kukufurahia kila siku.
aiseeeeeeeee
chezeya wazee wa chimbooooo chini ya uongozi wa dereva Mtambuzi
Mi sisemi........
au una hamu ya
chezeiya mimi weye?? it was fun kwakweli! niliifurahia siku ile! nipo mwaya napigika kama kawa, kama dawa! itabidi tru-arrange tena, tukae mkao wa kungu la comoro! nataka niwe legeee, si unajua maeneo yale huwa linakuwa jimbo huru?? vigezo na masharti kuzingatiwa!

Mpatie na hii asinyonwe na msosi...
Kwani umesahau kama leo ni B'day ya Kijino?
Chelewa chelewa...........
Mhhhhhhhhhhhhhhhh..................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
chezeya wazee wa chimbooooo chini ya uongozi wa dereva Mtambuzi
chezeiya mimi weye?? it was fun kwakweli! niliifurahia siku ile! nipo mwaya napigika kama kawa, kama dawa! itabidi tru-arrange tena, tukae mkao wa kungu la comoro! nataka niwe legeee, si unajua maeneo yale huwa linakuwa jimbo huru?? vigezo na masharti kuzingatiwa!
umeona eeeeeeee, this time tuanzie makaburini kinondoni tukamuombee kidogo! lol! what a loss jemeni?? mzima wewe lakini?? gfsonwin kasafiri alikuaga?? nimemwambia anipakie dildo akuje nazo pande hii za size tofauti, lol!!kungu la comoro ukimiksi na halua za ngazija!lol
mke mwenzangu wa sirini mbona mume wetu angekoma!