Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Kwa kusoma post zote za uzi huu, nimegundua kwmaba wachangiaji wote katika uzi huu jana walikesha baa wakilanduka..
Yaani tangu asubuhi ya leo mazungumzo yenu yote ni Pombe tu!

Haya semeni Jumamosi tukutane wapi kabla sijarudi zangu ZNZ Jumapili.
kuna kiwanja chaitwa brajec wangu! ni cha zamani ila bado chavuma, kipo savei kama waenda chuo kikuu! karibuje thatha??
 
kuna kiwanja chaitwa brajec wangu! ni cha zamani ila bado chavuma, kipo savei kama waenda chuo kikuu! karibuje thatha??

Haye sema shoga, bajeti yake ni kiasi gani, sipendi ofa za Wabara, naogoma kulipishwa mie
 
Mkuu Mr Rocky angalia location yangu! Bado nipo sero mazee............ nikiwaona naingia chini ya uvungu hahaaaaa

Mhhh aise hiyo sero angalia wasikumwabepande aise ukatoka huko huna kucha wala meno Mungi
na usije ukapelekwa guatamano ya arusha mkuu
 
Last edited by a moderator:
Haye sema shoga, bajeti yake ni kiasi gani, sipendi ofa za Wabara, naogoma kulipishwa mie

hahahaha usiogope huwezi kulipishwa na kama itatokea itakuwa suna ...... cacico mtoe wasiwasi Zinduna... thithi wote badugu
 
Mhhh aise hiyo sero angalia wasikumwabepande aise ukatoka huko huna kucha wala meno Mungi
na usije ukapelekwa guatamano ya arusha mkuu

Tena kuna Afande moja baada ya kutoka sero akaniambia WE WAKALA PIPOZ UNATOKA WAPI HUMU!
Dah! kung'olewa kucha ni rahisi sana tusipofanya maamuzi ya haraka kule kwenye stress
 
Tena kuna Afande moja baada ya kutoka sero akaniambia WE WAKALA PIPOZ UNATOKA WAPI HUMU!
Dah! kung'olewa kucha ni rahisi sana tusipofanya maamuzi ya haraka kule kwenye stress

Kule jukwaa la stress kunaumiza sana aise mambo yanayotokea utafikiri ni ya kuota
Wanakuweza akina zomba na mwenzake Ritz na akina Filipo japo naona Filipo anakukimbia aise
 
Last edited by a moderator:
Best we acha tu.
si unawajua wabongo walivyo?
Unafanya kazi ya kanisa malipo mbinguni.
Inahuuuuuuuuuuuuuu...........???????????

Haihuu kabisa best. Yanini kumfurahisha shetani wakati kiti anaumia? Waelekeze ilipo Ubungo Terminal waende wenyewe Tanga waone kama hawajatenguliwa vighwidi.
 
Kule jukwaa la stress kunaumiza sana aise mambo yanayotokea utafikiri ni ya kuota
Wanakuweza akina zomba na mwenzake Ritz na akina Filipo japo naona Filipo anakukimbia aise

Uzuri wa Ritz anajaribu kujenga hoja ya kuwajenga upinzani badala ya kuwabomoa. Hata zomba naye hivyo hivyo, japo wakati mwingine anaonyesha mahaba ya dhati kwa ccm
 
Last edited by a moderator:
Uzuri wa Ritz anajaribu kujenga hoja ya kuwajenga upinzani badala ya kuwabomoa. Hata zomba naye hivyo hivyo, japo wakati mwingine anaonyesha mahaba ya dhati kwa ccm

ndio hivyo Mungi ila tatizo mambo yanayotokea mengine yanaudhi unatakani uporomoshe matusi ila unafikiria akina Invisible na Paw wako macho
 
Last edited by a moderator:
dah! jtahd uwepo. Kusogera tarehe ni dhambi.

Aah bro...hata dhambi hutubiwa!

Nimekuelewaaaaaaaaaaaaa
Tuonane Chimbo
Madame B fanya basi mpango tarehe isogezwe wikendi ile ingine! ama hutaki nikamwone wifi yako!

Afu cacico nahitaji ushauri kidogo juu ya wale ndugu zetu (mashemeji zako)..planning to make them my shemejiz too)..ila uwe sober not DOMPOD...!:confused2::A S 11:
 
Last edited by a moderator:
kuna kiwanja chaitwa brajec wangu! ni cha zamani ila bado chavuma, kipo savei kama waenda chuo kikuu! karibuje thatha??

Tujipangeni basi jamani,
Nina hamu ya Kurandukaaaaaaaaaaa,
Nataka nilegeze Nyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…