mh,ngoja nikubali kihvi. wewe utakuwa mwenyeji wangu wakati wa kuparlie tu. aftr dat mamaaa cacico ndo atashka usukani thawa mtoto mdhuri make hukawii kumwaga chozi!!!!
mpe dada mmoja wa kidigo, tuone huo u-tight wa mkewe!! Chezeiya niniliu weye?? Haina mwenyewe ile!! Ebo!
hakuna matata.
Mamito charminglady wala usijali.
Yani huku ni full kupombeka.
ONYO
Usije na Mumeo
asije akazitamani nyonga zetu bureeeeeee.............
hahahaha, cacico nipo tele kama pishi la dengu..... malimwengu tu yanatubana .... j3 inakuwa kama imelogwa...ila nasomeka sasa nashukuru , kama uko poa mi pia buheri...ha ha ha ha we mkareeeeeeeeee! niliisoma namba kimya kimya na niliyekuacha naye, nikajua hapa lazma sayari ya mars itafutwe!! nilikudoeaje viepe na kuku yule?? najua hukushiba, ila nilijua we upo hm utakula tu, ss mie, mpaka nianze kupasha viporo leo??? Jiwe Linaloishi yupo?? mwambie nimemmiss!!, mbona hasomeki wakati wahanga wanajuliana hali, ebo!!?
hahahah na sisi je men alone je tukizidiwa..... ('_')
Madame B karibu sana japo nimechelewa kuufikia uzi wako
Pole na masahibu yaliyokupata Nicas Mtei mbona hatuambiani aise kwenda kwako lushoto ilikuwa planned kwenda kuopoa wa kuja kukaa nae Jiwe Linaloishi aise una maswali mengi ya kujibu aise hebu tafuta mawasiliano
maiwasu??? kumbe haya ndo madhara ya kuchanganya DOMPO na VALUU?????
bad luck ni kwamba cjafanikiwa kuopoa. Nlikuwa natafuta beki 3.