madame b.........i told you!

Mkuu CHAI CHUNGU hivi ilikuwaje ukaachana na mrembo wa haja kama Madame B?
Mapene mkuu.
Yani uchumi ulisheki kidogo,si unajua demu mwenyewe pesa mbele sound nyuma?ila nsharekebisha tayari,maana ata gari nshabadilisha,sasa hivi na drive RANGE ROVER EVOQUE!
Alafu kama tutaludiana nae basi ataendesha freelander2 soon!
 
Last edited by a moderator:

Ukitaka nirudiane na wewe fanya yafuatayo:
1. Nifungulie Unisex Saloon na Duka la Jumla.
2. Kaniletee mbwa wa kijerumani.
3. Leta ATM kadi yako iwe inakaa kwenye pochi langu la kazini.

Hapoi ndio kidogo nitakufikiria.
 
No.3??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…