madame b.........i told you!

Mamndenyi umeniacha hoi huu msuto siyo wa kawaida hadi umekuwa kivutio cha watalii kweli kiboko! Ni muhimu wizara ya majungu na utamaduni hika andaa misuto mingi ili tuweze kupata pesa za kigeni!

msuto huu hadi wathungu wapo
 
Last edited by a moderator:
Paloma unashadadia mateso yangu sio.......subiri nitakufitinisha na sosoliso mpaka utamani kuangukiwa na ukuta wa morogoro road.
Bishanga tafadhali.. timbwili lako na Madame B lisikufanye ukataka kunivunjia ndoa yangu eeh..! wewe unaelewa kabisa kwamba Madame B ni shem wangu.. shoga wa karibu sana wa mai waifu Paloma.. ulitegemea Paloma akae kimya..? ankuogopa nini wewe.. Unalo hilo..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…