Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
**Hongera Madam
😅😅😅Joke ya mwaka
Mavi ya kuku!!Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo
**Hongera Madam
Vipi kwanza lile duka la nguo za watoto alilopewa asimamie na dada ake limeishia wapi??
😂 Jumlisha na offer za hovyo hovyo kuwapa watoto wa rafiki zake.Lile duka lilikuwa linauzwa Huku watu wanashushia na Kilimanjaro asubuhi mpaka jioni litadumu kwelii??
Jumlisha na offer za hovyo hovyo kuwapa watoto wa rafiki zake.
Tusubiri hiyo mall.