NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,423
- 2,414
Mkuu, mziki unakuwaga mgumu kwa muuzaji jinsi ya mnunuaji, na kidogo kwa mnunuaji jinsi ya kumpata muuzaji hapa kumbuka mnunuaji hataki kurisk ama hataki kuingia gharama za kumpata muuzaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu inakuaje ngumu kumpata muuzaji wakati mtu umeshaamua kuingia mzigoni umetoka Dar umevuka mikoa kadhaa kwa nini iwe ngumu kuingia mpaka kijijini ukaishia tu kwenye minada au masokoni...?
Na pia, hiyo gharama ya kumpata muuzaji na hizo 300 kwa kila kilo ipi unakuwa umepoteza zaidi, kuingia interior kuufata muuzaji au kupoteza 300 kwa kila kilo...?