CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 833
Wasalaam wakuu
Kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya mazao ya kilimo na kilimo chenyewe mtakubaliana na hoja yangu hapo juu. Mkulima na mnunuzi wamekuwa wahanga kwa Bei za mazao sababu tuu ya huyu mtu anaitwa dalali. Bei zinaweza kuwa reflected kwa makert price...lakini huyu mtu dalali sio kabisa
Mfano :mkulima unauza kilo 1 ya mchele 1,200/- ...dalali anamwmbia hupati mteja labda uuze kwa 1,000/-. Mnunuzi anaenda kwa dalali anauliza mchele wa Kg 1,200/- dalali anamwambia hupati labda kwa 1,300/-
Kwa hiyo dalali anakuja kupiga faida ya 300/-(1,300-1,000)
Kingine Hawa jamaa ndo anachagua Nani auuze Nani asiuze Nani apate mzigo Nani asipate...ukikosana na mmoja umeharibu...unaweza kaa shamba au porini mpaka umalize mtaji. Mkulima Hali kadhalika anaweza kaa na mzigo wake Hadi amalize pesa ya kula. Hawa watu Selikari iingilie Kati. Ni wanyonyaji
Nb. Hata wale wenye stoo wana chembechembe za utapeli huu