Palitokea madaktari bingwa kutoka nchi 3, CHINA, UJERUMANI na TANZANIA. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa katika nchi zao.

MCHINA Akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate.

MJERUMANI Akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote miwili tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu.

MTANZANIA Akacheka sana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu, sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa mvulana hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA ......