Madaktari watatu kutoka china ujerumani na tanzania wakijadili mafanikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari watatu kutoka china ujerumani na tanzania wakijadili mafanikio

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shine, Aug 30, 2011.

1. Shine

Shine JF-Expert Member

#1
Aug 30, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Palitokea madaktari bingwa kutoka nchi 3, CHINA, UJERUMANI na TANZANIA. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa katika nchi zao.

MCHINA Akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate.

MJERUMANI Akasema hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote miwili tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu.

MTANZANIA Akacheka sana akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu, sisi hapo BAGAMOYO alizaliwa mvulana hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA ......

2. B

Blessy Member

#2
Aug 30, 2011
Joined: Jan 5, 2011
Messages: 14
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mmmmh!!!! hapo me cchangii.

3. driller

driller JF-Expert Member

#3
Aug 30, 2011
Joined: Aug 25, 2011
Messages: 1,119
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
asee mbona hukuwasikiliza vizuri wale madokta manake yule mtanzania alikuja kugundua kua alikosea akarekebisha kua nazi ile ilikua ni KOROMA... yaani nazi mbovu...!

4. Viper

Viper JF-Expert Member

#4
Aug 30, 2011
Joined: Dec 21, 2007
Messages: 3,665
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
hehehehehe! lol

5. Diehard

Diehard JF-Expert Member

#5
Aug 30, 2011
Joined: Nov 23, 2010
Messages: 370
Likes Received: 25
Trophy Points: 45
Haikuwa nazi wala koroma ni kifuu yaani ganda tupu

6. driller

driller JF-Expert Member

#6
Aug 30, 2011
Joined: Aug 25, 2011
Messages: 1,119
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
nimekuja kugundua kua wewe ndio ulikuepo pale..! na walionyesha hata kua ndani kulikua na hewa kwenye lile ganda muzzzzeiya..!

7. Cha Moto

Cha Moto JF-Expert Member

#7
Aug 31, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 945
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

8. Ikumbilo

Ikumbilo JF-Expert Member

#8
Aug 31, 2011
Joined: May 14, 2010
Messages: 455
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
nimecheka hadi basi, kweli hii ni JF.

9. Azimio Jipya

Azimio Jipya JF-Expert Member

#9
Aug 31, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 3,370
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
Nazi imekomaa ... inakunwa... inanenepesha vitambi vya...Mafisadi!!

10. a

aldanie Member

#10
Sep 1, 2011
Joined: Aug 31, 2011
Messages: 28
Likes Received: 1
Trophy Points: 5
kweli Doct wa kibongo alichemka, bora angemuacha afe kuliko kuweka koroma sasa linawatesa Waangania. Pole yetu:sad::sad:

11. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#11
Sep 1, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,356
Trophy Points: 280
Lmfao....hahahahahaaaa :)

12. Shine

Shine JF-Expert Member

#12
Sep 1, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Na kwahaya mambo anavyoendesha kweli tumeumia

13. Quinty

Quinty JF-Expert Member

#13
Sep 1, 2011
Joined: Mar 25, 2010
Messages: 463
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Nimecheka sana kweli korona maana nazi inanafuu tatizo sasa ameozesha na ndugu zake wote alionao kwenye serikali yake

14. P

PALANGAVANU Member

#14
Sep 2, 2011
Joined: Jan 3, 2011
Messages: 24
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
UUUUUUUUUUWI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mbavu zangu! na mpaka hii miaka iishe tutakoma.

15. B

Brian Jonas Member

#15
Sep 3, 2011
Joined: Sep 3, 2011
Messages: 9
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Duuuuuuuuuuuuuuuuuu................................ kwa hilo ,mchango ni mgumu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

16. Yo Yo

Yo Yo JF-Expert Member

#16
Sep 4, 2011
Joined: May 31, 2008
Messages: 11,247
Likes Received: 73
Trophy Points: 0
Kama ni Bagamoyo atakuwa kabila lake ni Mkw3re.
Na wasiwasi Kama atakuwa anawatoto ukichagua hukosi Mbata

Na huwa wanagemwa

17. K

Kingu Victor EL Member

#17
Sep 4, 2011
Joined: Aug 21, 2011
Messages: 26
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

18. tobycow

tobycow Senior Member

#18
Sep 4, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 130
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Hadi noma

19. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#19
Sep 5, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Mkwereeeeeeee teh! teh!

20. r

rchibindu Member

#20
Sep 5, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 5
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Akili ni nywele kila mtu ana zake, kuhusu yeye kutokuwa na uadirifu/kipaji/elimu ya uongozi ktk serikali yake usilaumu Kabila lake - yy ni kama yy na udhaifu wake wa kuongoza tusiharibu mada, maana ndani ya serikali kuna makabila mchanganyiko kama yeye anaharibu kwa nini wengine wasijiuzulu wamuache na Ukoroma wake? Ili tuone kweli wanakerwa naye.

Loading...