Aiseee....USINIPANGIE Cha kuandika Wewe...nikienda nje ya mada..Wewe unawashwa pumbu?...
Nakama kuliwa KWANGU iwe na doctor au na mwingine Wewe unawashwa Nini?
Hapa nyingi ni story za mtaani tu.......katika uhalisia wenyewe uwezekano wa hayo matukio ni mdogo sanaUnamuweka kwenye wealchair nakwenda nae pori la karibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini hao hao wanawake ndio wanakuambia wanapenda sana wahudumiwe na dokita mwanaumeHabari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.
Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.
Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.
Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.
Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.
Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?
Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?
Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.
Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.
Amina.
Una akili mingi sana.Hzo ni rare kesi Sana, Ila KWA nature ya hospital mtu kwenda kujifungua labour au kusafishwa ubakwe ngumu Sana maana kusafishwa ni procedures lazima udungwe mashindano, plus ma nurse kila corner ngumu jamani. Kwanza ni marufuku dr wakiume kuhudumia mwanamke ka kusafisha bila nurse wa kike na huo ndo muongozo
Mwaka 2017 nilifanya kazi Kahama. Paliibuka kesi moja ya mdada alikuwa anahangaikia tatizo la uzazi (mimba zilikuwa zinaharibika). Alikuwa na mme wake wote hapo hospitali, mdada aliingia kwa dakatari (ilikuwa sio mara ya kwanza), daktari huyo alikuwa ndie anamshughulikia matibabu yake. Siku ya tukio mme aliambiwa ampishe daktari afanye kazi (amtibu mgonjwa ). Daktari alimbadilikia mgonjwa, alimtaka...Dakatari akatimiza kusudi lake la kufanya ngono.Mwongo mkubwa weeee
Ndio alikutenganisha miguu?Musa mteganisha bahari
Kusingizia ni dhambi mbaya sana !Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.
Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.
Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.
Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.
Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.
Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?
Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?
Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.
Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.
Amina.
Au wanatafsiri mbuzi hula urefu wa kamba yake🙄Miaka ya nyuma nilikua nakaa na bro wangu daktari..sasa nilikua nimelala chumbani baada ya kusoma sana, kushtuka usingizin nikaskia kuna maongezi yanaendelea kati ya bro na mwanamke. Nikajifanya nimelala siskii ila kiufupi yule mwanamke ni wa pale mtaani maana nilichungulia dirishani wakati anaondoka nikamuona.
Alikuwa kaja kumuomba bro ushauri kwamba alibakwa na daktari na akaelezea kwamba alikua anaona kila kitu kinachoendelea japo hakua na nguvu yoyote so sabab nilikuta maongezi katikati nikaelewa alipewa dawa kumlegeza.
Akasema anamsongo wa mawazo mno na alikaa zaidi ya wiki yupo kimya ila akashindwa ikabidi aje kuongea na bro maana hata mmewake alikua hajamwambia bado.
Ni story ndefu ila kiukweli haya mambo yapo na victims wanakua na wakati mgumu kusema. Unaweza itafuta makala flani ya kenya ya jicho pevu kuna daktari aliwekewa mtego wa camera ofisin kwake mtaona alivyokua anawala wagonjwa wanawake. Hata tabora mwaka jana ishu kama hii iliripotiwa
Chumba maalum sio wodini halafu ni usiku mnene ujue kwa kuwa binti alikuwa analala huko huko akimuuguza mama.Dah sindano ya usingizi kisha akumuinglia hapo hapo wodini?
Wewe ni mbishi saana, na inaonekana umekulia mjini! Sio kote kunakuwa na wahudimu wengi, sehemu nyingine ni shidaa na wahudumu ni wachacheHiyo niliona na hzo ni rare kesi ambazo hutokea tena KWA kujiiba Ila huduma ikitolewa lazima Kuna wasaidizi Hadi watatu, na pia hospital kubwa binafsi Zina camera kila corner so ni difficult. Hafu k zamtu kujifungua au kusafishwa hazitamanishi hata wallah. Labda mtu akishapona waendeleze huko nje.
Hata hivyo siyo kila daktari anataka kula mgonjwa,na baadhi yao wako selective,akiona wewe hujamvutia kiviilee,procedures zote zitafanyika akiwepo nesi au mr. wako.Ninavyojua mimi daktari wa kiume hatakiwi kumfanyia mwanamke procedure bila uwepo wa nurse mwanamke au hata kumfanyia vipimo ambayo vinahusisha sehemu za siri au zinazoonyesha maungo ya mwanamke ni lazima nurse awepo ....i stand to be corrected
Nilikua naatend kwa daktari mmoja wakati nipo mjamzito , kila wakati ikifika kwenye kupima mapigo ya moyo ya mtoto kama sijaenda na Mr, anamwita nurse kwanza halafu baada ya hapo ndio ananiambia panda kitandani pandisha gauni
Huwa kunakua na vyumba vya madaktari,vimeandikwa kabisa.Wodini ni sehemu wanakolazwa wagonjwa.Dah sindano ya usingizi kisha akumuinglia hapo hapo wodini?
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.
Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.
Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.
Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.
Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.
Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?
Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?
Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.
Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.
Amina.
Nataka nikuambie watu wanachapa kama kawa...ngoja kwnza nikuambie madokta wana mbinu nyingi...anaweza akachapa kabla ya kuwaita hao manes au baada ya mgonjwa kupona ni jambo laini sana kwa madokta .....nakuambia ni madokta wachache sana wanaofata ethics lkn wengi wanashindwa na ukiangalia na wanawake wenyewe wa sasa walivyoumbika mtu anashindwa kbs ila sio madokta wote ni baadhi tu.Mie ilikuwa operation wakati naandaliwa kulikuwa na dr na ma nurse kibao, bila kusahau wanafunzi wa intern so hyo kubakwa ni ngumu Sana maana ma Dr wako busy mno na ku save watu aisee,nyege ni baada ya kazi imagine my gynologist jinsi Wana rundo la wagonjwa kusubiria huduma. Hafu theatre kubwa vitanda vingi na operation nyingi Sasa mtu ana bakaje hapo