Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Hospital ulioenda nzuri... Wanakusafisha na kudungwa na masindano [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi I had a miscarriage...ilikuwa dry dry mydear.....Yaaani hakuna Cha sindano Wala Nini. Ni vyuma tu na plastic....Nilisikia maumivu SI ya nchi hii....LOOOOH

Nashangaa huyo atake kubaka katika Hali hiyo...atakuwa na shida mahala
 
Ungewawekea kapicha labda wangekuelewa kipenzi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa anatimua mbio huyo nurse?
 
Na ukiwa hospital ukiona dr analeta za tofauti una omba nurse hawepo hapo
Mpaka uwe na uelewa basi, kuna mwingine unapelekwa kama kondoo anayeenda kunyolewa manyoya
 
Wewe Unasema haya.mambo SI ya kupuuzwa...alafu umamjua Doctor anaelawiti wanafunzi alafu unakaa kimya..

Wewe ndo.unapuuuza mambo
 
Wewe Unasema haya.mambo SI ya kupuuzwa...alafu umamjua Doctor anaelawiti wanafunzi alafu unakaa kimya..

Wewe ndo.unapuuuza mambo
Naamini mwisho wake utafika tyuuh, ila nachomaanisha ni kuwa haya mambo yapo kweli, sio ya kubezwa kuwa hayapo.
 


Funguka Chief! Husiogope! Utaokoa wengi sana! Please!!
 
Kaka nakushauri kasome na wewe uwe daktari. Tusileteane mambo ya kipuuzi apa
 
Mimi Kuna PISI baada ya kumsaidia kupona ilijitongozesha na kusema kako lonely kanataka niwe nakapa company bs akawa anatimba magetoni mengine yaliyoendelea tuyaache....mwaka juzi 2019.
 
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..


So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
Kibongo bongo kuna ile hali ya kuestablish mawasiliano na daktari kwa ajili ya follow ups baada ya surgery! Humu ndani watu watajitia jeuri kana kwamba hawaelewi umuhimu wa daktari kwa afya ya mtu husika ila ndio inavyokuwa katika mawasiliano kama doctor alikupenda na wewe ukampenda mtajikuta mmefanya mapenzi hata baada ya kupona tu.
 
Uislamu una msimamo, huwezi kuta huu ushenzi nchi zao kama nchi za upande wa pili. Enyi ndugu sio kwamba nawaponda laa hasha, ukweli ndio huo,, tena munatakiwa munishukuru kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…