Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
sasa nimeamini kwamba kweli Obama kaondoka.... teh teh tehKulikuwa na mgomo wa Madaktari uliokuwa ukiongozwa na Jumuiya ya Madaktai ncini chini ya Uenyekiti wa Dr.Stephen Ulimboka. Madaktari wetu walikuwa na maombi mbalimbali kwa Serikali juu ya kuboresha huduma za afya na maslahi ya Madaktari. Kwa ukimya uliopo sasa,Madaktari wetu wamepewa walichokiomba?
sasa nimeamini kwamba kweli Obama kaondoka.... teh teh teh
Tusubiri DR. Olimboka aliahidi kuja kusema mbivu na mbichi muda muafaka ukifika.
wamegundua kuwa walikuwa wanatumiwa kisiasa sasa wameamua kuzingatia maadili yao na kuweka siasa pembeni.
wamegundua kuwa walikuwa wanatumiwa kisiasa sasa wameamua kuzingatia maadili yao na kuweka siasa pembeni.
Acha USHAMBA wewe....nani alikua anatumika kisisasa....aklili kama za kukuwamegundua kuwa walikuwa wanatumiwa kisiasa sasa wameamua kuzingatia maadili yao na kuweka siasa pembeni.
Kwa yeyote aliyekuwa akishabikia ule mgomo bila shaka alikuwa upande wa shetani ambaye aliuratibu ili kupoteza roho za watu wasio na hatia. Laiti kama ungepoteza ndugu au mtu wa karibu kwa sababu tu madaktari wamegoma bila shaka ungejua athari na ubaya wa ule mgomo. Kwa umuhimu wa kazi zao mgomo sio njia sahihi kwani roho zinazopotea pale haziwezi kufidiwa hata kama watalipwa zaidi ya wanachokidai. Siasa inaingia hasa pale unapotaka wachukuliwe kama ni bora sana kuliko watumishi wengine na kudai mambo ambayo kinadharia unayemdai hawezi kuyatimiza halafu silaha kubwa ni mgomo ambao unagharimu maisha ya wananchi wa hali za chini. Kamwe sitaunga mgomo wa madaktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kushangilia vifo vya wananchi wasio na hatia tena wenye hali za chini kama mimi.subiri uwe victim.. Bongo kila kitu mnatafuta suluhisho la kisiasa... Bora iende.. Hata maisha yetu tunayafanyia siasa. Una nguvu ya kuropoka kwa sababu hujapatwa na tatizo kubwa la kiafya ambalo madaktari watakuambia hatuwezi kufanya chochote kwa sababu hakuna vifaa au madawa ya aina hiyo.. Kila nafsi itaunja umauti na omba sanaa safari yako ya mwisho isije kuwa ni ndefu ya kupitia kwenye mapungufu yale yale yaliyolalamikiwa na madaktari. Kwa mtuu yeyote mwenye hekima hawezi kubeza yale yaliyokuwa msingi wa mgomo wa madaktari. It was a win win win situation,
...Tatizo la nchi yetu ni akili ndogo kutawala akili kubwa. hivi sasa ukienda wodini unakuta mgonjwa kaishiwa maji daktari anawaambia ndugu zake wakanunue maji pharmacy - wanaporudi mgonjwa anakata roho. Hakuna emergency siku hizi na madaktari wamejifunza kuwa na roho ngumu kwa sababu hata wakiwa na huruma haiwasaidii.wamegundua kuwa walikuwa wanatumiwa kisiasa sasa wameamua kuzingatia maadili yao na kuweka siasa pembeni.
...kuna uMungu gani kumlipa mbunge siting allwance ya 200,000 kwa siku na daktari 10,000 kwa kukesha na wagomjwa. Hayo maisha si yaokolewe na hivyo vikao basi!Kwa yeyote aliyekuwa akishabikia ule mgomo bila shaka alikuwa upande wa shetani ambaye aliuratibu ili kupoteza roho za watu wasio na hatia. Laiti kama ungepoteza ndugu au mtu wa karibu kwa sababu tu madaktari wamegoma bila shaka ungejua athari na ubaya wa ule mgomo. Kwa umuhimu wa kazi zao mgomo sio njia sahihi kwani roho zinazopotea pale haziwezi kufidiwa hata kama watalipwa zaidi ya wanachokidai. Siasa inaingia hasa pale unapotaka wachukuliwe kama ni bora sana kuliko watumishi wengine na kudai mambo ambayo kinadharia unayemdai hawezi kuyatimiza halafu silaha kubwa ni mgomo ambao unagharimu maisha ya wananchi wa hali za chini. Kamwe sitaunga mgomo wa madaktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kushangilia vifo vya wananchi wasio na hatia tena wenye hali za chini kama mimi.
mkuu hawajapata ila kwa pigo walilopata hao madaktari kutoka kwa serikali na vyombo vyake na wananchi nadhani sasa hivi wo ni bora liende.
kwa kifupi hali ni mbaya sana mahospitalini.
...Tatizo la nchi yetu ni akili ndogo kutawala akili kubwa. hivi sasa ukienda wodini unakuta mgonjwa kaishiwa maji daktari anawaambia ndugu zake wakanunue maji pharmacy - wanaporudi mgonjwa anakata roho. Hakuna emergency siku hizi na madaktari wamejifunza kuwa na roho ngumu kwa sababu hata wakiwa na huruma haiwasaidii.
Lakini kumbuka ni bora liende kwa mwananchi wa kawaida na siyo kwa wenye uwezo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
...kuna uMungu gani kumlipa mbunge siting allwance ya 200,000 kwa siku na daktari 10,000 kwa kukesha na wagomjwa. Hayo maisha si yaokolewe na hivyo vikao basi!
Acha USHAMBA wewe....nani alikua anatumika kisisasa....aklili kama za kuku
mkuu hawajapata ila kwa pigo walilopata hao madaktari kutoka kwa serikali na vyombo vyake na wananchi nadhani sasa hivi wo ni bora liende.
kwa kifupi hali ni mbaya sana mahospitalini.