#COVID19 Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

Madaktari wengi ambao wanafariki ni wa nchi gani?....
Madaktari hao walioshauri ni sehemu ya mazezeta....
Unasema chanjo lazima wakati hutengenezi chanjo.....huu ni upumbavu wa hali ya juu....hii mitoto ya siku hizi vilaza sana...
Wapi mrejesho wa waliopata chanjo na wakapata madhara....dunia haina siri
 
Madaktari wanakuafaje na wao wamechanja?

Aliyechanja haambukizi? kwa. nini watuhumu kuambukizwa na asiyechanja na sio yule aliyechanja?

Toka lini wakawa na uchungu na maisha binafsi ya mtu?

Haya mambo ya kulazimishana yakiendelea itafika hatua watu watalazimishwa kwenda nyumba za ibada kwa kisingizio cha kuwahurumia watenda dhambi.

Sigara zinaua maelfu mbona hawalalamikii tumbaku kulimwa?

Watoe takwimu za vifo kutokana na magonjwa yote ili tuone uhalisia kwa kulinganisha.
 
Huko Israel wamechanjwa 70% , watu waliopata Chanjo ya Corona wanakufa wengi kuliko hata wasiochanjwa. Baadhi ya Nchi wameanza kuweka vikwanzo vya wasafiri wa Israel.
 
Ndio maswali nayojiuliza pia
 
Ndio maswali nayojiuliza pia
Kauli ya hao madaktar ina prove kwamba chanjo Ni kiini macho tu, Kuna ajenda kwenye hyo chanjo, maana kama wanakufa na wamechanjwa swal tunachanja ili?? Wao waseme tu Kama serikal imewatuma waje na hyo njia au la, maana wametumia hyo ya kuwaambia watu wachanje imedunda. Wanakuja na kampen cjui ya wki ya kuchanja holllaaaa, Sasa mtoa pesa kawakalia pabaya kwel wao wale tu ila kunasiku zitawatokea popote kwenye tundu la binadam,

Wawe na BUSARA kidg wasiendeshwe tu kisa pesa, Sasa kama wanakufa tunachoma nn ss,
 
Nimegundua kujua kuandika kwa kiingereza au kujua kusema maneno kama research, basis, scientific, ni usomi mkubwa humu na sababu ya wengi kujiona elites, kwamba wao wanajua zaidi sayansi.

Ukitaka chanja, usipotaka chanja, hakuna msomi wala mjinga aliyewahi kulisaidia hilj taifa la wadanganyika, na zaidi naweza sema, wajinga wakubwa ni wanaidhani wao ni wasomi.
 
🤣 mkuu naona hawa watu wamekuvuruga kweri kweri......
 
🤣 mkuu naona hawa watu wamekuvuruga kweri kweri......
Bwana wee, mtu anapojimwambafy halafu anaacha maswali mengi yasiyo na majibu inahuzunisha sana! Mtu anayeanza kwa kujitanabaisha kuwa yeye ni msomi, hana tofauti na "unanijua mi ni nani"

Hawa wasomi wa kukariri na kukumbuka wanatunyanyasa sana humu.
 
Msimlishe Mwenyekiti wetu maneno. Yeye alishasema ni hiari. Kama kuna watu wamekufa kutokana na chanjo nani aendelee kuchanjwa???
Mbona wakati yupo na gwajima hakutamka neno hiyari mpaka wananchi wakamwambia hatuchanjiiiii Bi Mudawote mbona unapingana na chama chako na waziri wako wa afya?
 
Inasikitisha. Kuna watu wengi wamekufa kutokana na chanjo. Ushahidi upo mwingi mno, kila mtu anajua. Waache kujipendekeza, hakuna mtanzania atakaye jipeleka kwenye kifo.
Wao wenyewe sababu yao kuu ya kutaka chanjo iwe lazima wanadai wanakufa sana na corona wanapohudumia wagonjwa wa corona.
Inamaana hata wao hawajachanja? Km wamechanja iweje wanakufa wakati wana kinga?
Serikali isithubutu huo upuuzi wa kufanya nchanjo kuwa lazima. Tuliogomea chanjo tuheshimiwe!
 

Utafanyandugu wa hao wagonjwa wawatelekeze na kuisusia serikali na serikali haitakuwa na uwezo wa kuwa hudumia wote.
 
Mkuu unaonekana wewe ni mshauri mzuri sana, yaani una kahekima fulani hivi, yaani kama unataka hutaki vile! Hongera nakuelewa sana msimamo wako na hutaki kuonekana mna uhusiano fulani na Gwaji..
 
Kac
Kachanje wacha kiherehere,
Ukishachanja uwezekano wa kufa ni mdogo kwa corona.
Kama marekani watu walipewa dola mia kwani hapa wameshindwa kupat pesa ya msaada ya kuwapa watu hata elfu 20 tu? Wakachanje kwa hiali?
 
Hoja yako ni nini!! Naona una bwabwaja tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…