donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 770
Hicho walichofanya cha kuunganisha vichwa vya maiti hata Mimi ningefanya
wajidanganye
Na wataishia kwenye panya sio binadamuWalishafanikiwa kwenye panya jaribu kutafuta kwenye tovuti mbali mbali utaona.
Na wataishia kwenye panya sio binadamu
Vipi kuhusu madaktar wetu wa afrika?
Zipi hizo? Hebu zitaje hata kwa uchacheWapo madaktari wazuri sana afrika, sema changamoto ni nyingi sana, (sitomtaja dr shika)
Zipi hizo? Hebu zitaje hata kwa uchache
Inamaana hao wa huko hawana changamoto?
Mkuu hapanaChangamoto kubwa ni UKATA, kuanzia vifaa, fedha za kufanya utafiti wa kutosha,matatizo ya kifamilia ambayo mengi pia husababishwa na umaskini,
Dogo hii Avatar itakucost SoonJaman kumbe vichwa vya mafesa vitakuwa dili
Mkuu hapana
Kwanza viongozi wenyewe hawako serious na vitu muhimu km hivyo
Madaktar wenyewe hawathqmini taaluma zao, wangelikuwa wanathamini wangeliungana na kushinikiza serikali iwafanyie, badala yake wamegeukia siasa
Kwann unawajibia?Wangekuja wenyewe kujibu ingependezaa
So what!? Kichwa cha maiti moja kwenda maiti nyingine ! Halafu? Wastage of resources