Madaktari wafanikiwa kubadilisha kichwa cha mwanadamu

donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
887
770
Madaktari nchini China wamefanikiwa kubadilisha kichwa kutoka kwenye mwili wa MAITI moja na kuuweka kwenye mwili wa MAITI nyingine,

Wanaamini kabisa inawezekana kuweka kichwa kingine kwa mtu aliye hai.

Kumekuwa na upingaji mkubwa kuhusiana na ruhusa ya jaribio hilo,

Wengi wakiamini ni kitu ambacho hakiwezekani lakini DR SERGIO CANAVERO wa ITALIA pamoja na wenzake wanaamini kabisa kuwa tayari wameshafikia uwezo huo na wanaweza kufanya wakipewa ruhusa,

World’s first human head transplant conducted successfully, claims Italian scientist
 
Huo moyo walifanikiwa lakini wagonjwa hawadumu great skill ndio walikua wa kwanza kuhamisha moyo wa binadamu hapo Cape town...au Cape Stad
 
So what!? Kichwa cha maiti moja kwenda maiti nyingine ! Halafu? Wastage of resources
 
Changamoto kubwa ni UKATA, kuanzia vifaa, fedha za kufanya utafiti wa kutosha,matatizo ya kifamilia ambayo mengi pia husababishwa na umaskini,
Mkuu hapana

Kwanza viongozi wenyewe hawako serious na vitu muhimu km hivyo

Madaktar wenyewe hawathqmini taaluma zao, wangelikuwa wanathamini wangeliungana na kushinikiza serikali iwafanyie, badala yake wamegeukia siasa
 
Mkuu hapana

Kwanza viongozi wenyewe hawako serious na vitu muhimu km hivyo

Madaktar wenyewe hawathqmini taaluma zao, wangelikuwa wanathamini wangeliungana na kushinikiza serikali iwafanyie, badala yake wamegeukia siasa

Wangekuja wenyewe kujibu ingependezaa
 
So what!? Kichwa cha maiti moja kwenda maiti nyingine ! Halafu? Wastage of resources

Ndugu kwenye udaktari na fani nyingine nyingi wanaadamu tumefanikiwa kwa kufanya majaribio mbali mbali tena ya gharama, hicho walichokifanya sio chepesi..,
Na wao hasa walitaka waweke kwa mtu aliye hai lakini walikosa ruhusa na pia nafkiri volunteer ambaye ndiye alitaka kuwekewa hicho kichwa alikataa dakika za mwisho.

Ukisoma zaidi ndio utajua kuwa hiyo haikuwa kazi ya kitoto...

Kaangalie budget za nchi zilizoendelea kuna kiasi gani kinatengwa kwa ajili ya utafiti!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom