SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Mungu wangu okoa hili jahazi.yan naimagine wajawazito na wagonjwa wengine wanaenda kupata huduma wanazikosa!jaman si tutawapoteza ndugu zetu wengi kwa namna hii??wasio na uwezo kwenda private hospital sijui watafanyaje,mimi naumia sana jaman serikali yeu sijajua inawaza nini?kuna haja ya serikali kuzuia swala hili.