Madaktari Waamua Kutangaza Mgomo Rasmi Kuanzia Kesho tarehe 24/01/2012

Mungu wangu okoa hili jahazi.yan naimagine wajawazito na wagonjwa wengine wanaenda kupata huduma wanazikosa!jaman si tutawapoteza ndugu zetu wengi kwa namna hii??wasio na uwezo kwenda private hospital sijui watafanyaje,mimi naumia sana jaman serikali yeu sijajua inawaza nini?kuna haja ya serikali kuzuia swala hili.
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.
Yaani wewe akili zako ni sawa na shuzi lako kubwa hilo kwani wewe hujasomeshwa na serikali,
Inamaana ukisomeshwa na serikali ndio familia yako ilale njaaa mbuzi mkubwa hivi sijui hata kama unaelewa kitu wewe lazima utakuwa kiazi sanaa
Do u know the risk hawa wafanyakazi wa afya r subjected to? have u ever even thought of it? because ur dumb and selfish i doubt!!!
Ukitaka kujua just volunteer for a day Hospitalini kuhudumia wagonjwa then utapata picha
Afu bado unataka huyu mtu ashindwe kupeleka watoto wake xul kujirisk na hali ya hatari tu it not enough for u ,
Unataka tena na njaa alale nayo huyu daktari/nurse etc
Njoo siku moja nikuvalishe gloves afu nikwambie shika damu hii ya mtu mwenye vvu .......
Njoo ukusanye matapishi ya mtu aliyekongoroka hajiwezi
Njoo umsafishe mtu aliyejinyea hajiwezi na hata nduguze wanamkimbia...
Wewe ni moja wa maadui wetu wa kubwa
 
Mm nataka wagome hata masaa manne tu. kama serikali imekataa easy way lets try hard way. ni wakati wa maamuzi mazito.
 
Sekta ya afya haiongozwi na Madaktari tu ni upuuzi wa Madaktari kutusemea sisi watumishi wa kada zingize za afya ambao hatujashiriki mikutano yao kifupi wamechumka na kesho watafanya kazi tu hao ni wababaishaji wanadanganywa na Madaktari waliokimbia kazi zao kama Kingwangala na mpiga domo wa clouds fm maroo
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.

Samahani nahisi wewe ni mmoja wa defenders wa udhaufu wa serikali au uwezo wako wa kutambua mambo ni finyu sana.
Hatuna free education ujue hilo kwanza na kwa baadhi ya doctors ni support tu ktk fee na living costs.
Kuna sectors nyingine kwa sababu tu ni wakusanyaji mapato mishahara iko juu na kada nyingine muhimu ambazo na mtanzania mwenyewe ktk afya na elimu zinawekwa kando licha kwamba zimechukua best candidates haina ubishi, gharama za mafunzo ziko juu sana, ni proffesionals zina ethics zake, na una chukua muda mrefu wa mafunzo. JAMANI TUHESHIMU FANI ZA WATU.
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.

Samahani nahisi wewe ni mmoja wa defenders wa udhaufu wa serikali au uwezo wako wa kutambua mambo ni finyu sana.
Hatuna free education ujue hilo kwanza na kwa baadhi ya doctors ni support tu ktk fee na living costs.
Kuna sectors nyingine kwa sababu tu ni wakusanyaji mapato mishahara iko juu na kada nyingine muhimu ambazo na mtanzania mwenyewe ktk afya na elimu zinawekwa kando licha kwamba zimechukua best candidates haina ubishi, gharama za mafunzo ziko juu sana, ni professionals zina ethics zake, na una chukua muda mrefu wa mafunzo. JAMANI TUHESHIMU FANI ZA WATU.
 
as usual: They are not serious, sijawahi ona mgomo tanzania ukifanikiwa;do you know why sijaona madai yao hadharani ya kwamba wanataka kulipwa kitu gani bila facts plus figures then its the wrong foot:kama ni huyo nyoni iliyokuwa something ya mkulu au hao akina deo na shekhe ubwabwa mponda nothing will happen hao interns they can continue with mikutano yao na pia kwa kuwa hawatapewa posho watachoka sasa hivi.tanzanians are so disunited when it comes to their rights na hii ni ajabu na kweli. If you don't believe me let us see ngoma ya kitoto haikeshi hatafika ijumaa.

sijui wewe una umri gani
taarifa
2005 madaktari waligoma muhimbili na kcmc na serikali ililazimika kuongeza mishahara ya wafanyakazi wote wa umma kwa kuanaza na ya wafanyakazi wa afya kwanza.
Ulikuwepo???
 
Udaktari tabibu ni noble profession na mgomo ni upuuzi ukizingatia wamekula kiapo kwa Mungu. Serikali imewasomesha buree wakati watanzania wengine wanalipa kila kukicha. Hizo ni kodi za watanzania. Walipe fadhila kwanza. Waache upuuzi. Kama wanataka maisha ya hollywood wabadilishe fani and it is too late now!! Hii ni ndoa na wanatakiwa kuitumikia kwa uadiilifu. Kama ni mgomo ungepaswa sis walipa kodi. Hadi hiyo mishahara yao ni kodi zetu. Na hata maboresho ya huduma ni kodi zetu pia. Sasa tutawasaidia mpaka lini. Acheni upumbaf fanyeni kazi ya ujenzi wa taifa hadi pesa zipatikane tutawaangalia mbeleni.
Nakuombea wakati ukitoka baa usione taa nyekundu, uparamie semitrela, gari lako riten-off, we vunja mguu na mbavu, then utajua daktari ni nani katika maisha yako.

Hivi serikali ipo wapi jamani ???usalama wa taifa hamuwashauri viongozi kumaliza migogoro kama hiyo?hamjui kuwa ndio chanzo cha usalama wa taifa zima kuwa mashakani??au nyie mnasubiri kusindikiza viongozi tu!??washauri wote na vyombo dola mnaogopa kutekeeleza wajibu wenu kushauri viongozi....PM ameshindwa kwenda na Katibu Mkuu kuongea nao hadi watu wafe waunde tume?mlikimbilia nini ikulu kama mnaogopa vivuli vyenu??

Naunga mkono hoja. Zamani migomo inamalizwa kimya kimya. Kwani kuna haja gani ya kulinda wasiowajibika?
 
Nilijua tu watafikia hapa nilimuona kigwangala na yule katibu mkuu wao wanaongea kwenye tv, they were speaking so arrogantly!! well wacha wagome ila kila atakaye fiwa na nduguye akimkuta daktari kwenye anga zake amgomee! wameiga madaktari wa kenya wala sii issue ya interns! maisha ni magumu kwa watz wote, na hata wakiongezwa mshahara utawatosha kwa mwezi wa kwanza tu baadae wataiona haitoshi tena! ugomvi na serikali watu watakufa, wajawazito wataumia, kna kila atakayefiwa adui yake ni daktari aliyegoma na huyo mama yenu Blandina maana woote mtakua sawa hamjatimiza wajibu wenu!
Hebu pitia katiba ya nchi hii kama unayo kopi yake, cheki kama inatamka kuwa afya ya mtanzania iko mikononi mwa daktari au serikali.
 
BLIND GOVERNMENT....Inadhani itaendelea kuwatisha watu wake hasa wafanyakazi mpaka lini? viongozi wanalewa madaraka baada ya kua wasikivu wanakua makenge...BLANDINA NYONI hana taaluma ya ukatibu mkuu zaidi ya udakitari sasa baada ya kuwatetea yeye anakua kinyume kumbe alieshiba hamkumbuki mwenye njaa...Makatibu wakuu posho zao ni LAANA kwani ktk nchi km TZ haifai, WABUNGE pia lakini RAIS muda wote huo yupo kimya as if yupo MAREKANI hajui kinachoendelea....sasa tutamsikia nadhani baada ya siku mbili,tatu na kauli zake TATA...kwa hili madaktari wala msirudi nyuma tupo nyuma yenu mpaka magamba yaelewe somo
 
Amini usiamini, ndani ya siku yao ya kwanza tu ya kugoma kwao, Watanzania wengi masikini watakufa!...na watakufa kabla ya wakati, na wala si kwa mapenzi ya Mungu!
Kudai maslahi kwa kubadilishana na maisha ya binadamu wenzako ni kitendo cha uuaji!....Madaktari hawanyimwi mshahara, all they want ni nyongeza.
Je gharama ya kudai nyongeza inafikia maisha ya Binadamu mwenzako?...Je kuondolewa kazini kwa Blandina kunashinikizwa kwa kuua Watanzania masikini?...tuache mizaha jamani!...Madaktari acheni mikutano ya kuzimu ya mauaji, are you guys Devil agents?
Nakubaliana nawe PJ mia kwa mia.
hebu kumbuka kuwa haya mambo yao sasa ni zaidi ya wiki tunayasikia kwenye media,
na huenda yalianza mda mrefu kwa kufuatia ngazi husika hadi ikashindikana (kama walienda).
imagine being pushed to edge?
It is the last option, nani wa kulaumu?
madokta?
serikali?
wapinzani?
 
madaktari wanasomeshwa bureee?sikua najua,so HESLB huwa hawapiti,?

unajua deni langu la heslb ni kubwa kuliko total ya boom na school feez za wanafunzi wengi wa kozi nyingine? Wanacholipa wao ni school fee tu. Tatizo viongozi wetu wengi hawasemi ukweli,wanaishia kusema wanasomesha bure ili wananchi wasielewe yale yanayodaiwa kwa kuwajaza cheep kauli. Hospitali hali ni ngumu, kinachofanyika siku hizi ni kudelay death tu. Hakuna dawa. Mnh prescription form hakuna,unaandika kwenye karatasi za continuation. Wao wakija wanalazimisha referal kwenda india kutibiwa hata uti. TUNATAKA MAZINGIRA YA KAZI YABORESHWE.
 
Back
Top Bottom