Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Tusubiri kauli ya serikali!!itakuwa ni ya kutojali na vitisho ila wakumbuke kuwa madaktari ni tofauti na walimu,wao hawatishiwi nyau nakumbuka kuna mwaka waligoma muhimbili tu badala ya kutatua tatizo wakakimbilia wanajeshi eti kwenda mujimbili kuokoa jahazi ambapo na wao walichemsha!!!
Na si ajabu utasikia mtu anasema wanachochewa na wanasiasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kweli kabisa;sababu serikali imeenda likizo ya kufikiri