Madaktari wa Muhimbili poleni kwa kazi na asanteni kwa kusema ukweli ila ni wakati wa kuomba kuimaimarishwa kwa tiba ya watu walioungua moto

Samahan, hivi kuungua moto kwa asilimia wanapimaje wakuu?

Kwa tafsiri yangu binafsi kutokana kwa wajuzi...

Kwa watu wazima wanapima kwa kutumia Rule of "Nines"
Kichwa na shingo 9%
Kifua na tumbo kwa mbele (9% x 2) 18%
Kifua na tumbo kwa nyuma Mgongoni (9% x 2) 18%
Mkono mmoja pamoja na viganja 9%
Mguu mmoja pamoja na unyayo 18%
Sehemu ya siri (uume/uke) 1%

Kwa watoto ni tofauti kidogo kwani wao kichwa ni kikubwa na hupewa 20% wakati miguu yao ni midogo na hupewa kama 13% hivi,
Wengine husema unaweza kupima kwa kutumia kiganja chako ambapo eneo lililoungua na linalozibwa na kiganja huwa ni karibu ya 1%

Kipimo kingine ni mpenyo wa ngozi na nyama ambapo napo pana makundi matatu yaani
(a) Kuungua jujuu na ngozi- 1st degree
(b) Kungua ngozi na nyama - 2nd degree
(c) Kuungua ngozi, nyama mpaka na mfupa - 3rd degree

Pia ni muhimu kuangalia je mtu huyu kaungua mapafu kwa kumeza moto? kiasi gani mapafu yameathirika? etc
 
so unanitisha

Hahahhaha we jamaaa
Sikutishi mzee. Ndo ukweli huo. Yaani Mungu akitaka umuone ukiwa hai utajuta maana hutatamani utakachokipata. Usiombe mzee. Heri usubiri ufe maana hata ukionana naye huna la kufanya. Kuna watu walitamani kumuona wakiwa hai, alifanya introduction tu kabla hawajamuona. Walisema heri asije. Hahahahahahah
 
Nionyeshe nlipotaka kumwona Mungu mkuu wangu na kiongozi

Back
Top Bottom