Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,942
Sasa watenda miujiza wakina buldoza mwamposa si ndo ulkua muda wao huu sijaona hata mmoja akienda hospitaliniHata kama Muhimbili wangekuwa na Burn Center kubwa namna gani wale wagonjwa wasingepona bali wengi wao wangekufa tu, Tanzania tumebarikiwa kuwa na maaskofu na manabii pamoja na akina Gwajima, Mzee wa upako, Mtume Mwingira, Askofo Fernandez, Kakobe etc ambao wangeweza kufanya maombezi yao kwa Mungu hata wakiwa watupu bila majoho ili tuone miujiza yao wanayoitangaza kila siku bado wasingeweza kupindua meza ya matokeo na bahati nzuri hapa walijua hawatapata kitu na matokeo yake wakawaachia Madaktari watumie ujuzi wao huku wao wakisubiri lini kuna munuso pale gate kali, Mkuu hizo nyama unazosema zilikuwa zinadondoka ndani ya Ambulance maana yake tayari zilikuwa zimeiva yaani laini kabisa basi unapashwa kuelewa kuwa ndivyo hivyohivyo athari ilivyokuwa ndani ya mapafu yaliyounguzwa na moto uliomezwa na waathirika wengi ambao walifanikiwa kutoka katikati ya wingu zito la moto huo, Mleta hoja anajaribu kutueleimisha elimu ya kuungua na matibabu yake na ni kweli lakini hajasema ni wapi duniani wagonjwa wa namna hiyo waliwahi kupona pamoja na kuwa na vifaa vyote muhimu? hata hivyo isiwe sababu madaktari wetu wanapaswa kuwa wakweli kweli na waanze upya kuangalia Medical ethics zao na practice of Euthanasia ili twende na wakhati
Yesu alkua anafanya huduma on that way
Cc Kiranga
Mzee nmefundishwa philosophy ya bible tangu nikiwa mdogo sana tena nimekua kwenye mafundisho ya dini
Kusali hata mara tano kwa siku
Kuamka kila siku saa tisa usiku kufanya maombi
Kufunga ndo usiseme