Madaktari wa Muhimbili poleni kwa kazi na asanteni kwa kusema ukweli ila ni wakati wa kuomba kuimaimarishwa kwa tiba ya watu walioungua moto

Kasema yake kisha anasema waneongea madaktari!! JF yetu sasa, sijui!!
Kimbunga, mie sijasema langu hata moja hapo kwani mie siyo daktari; ila kwa maelezo ya madaktari naona kama wanasema wangekuwa na vifaa sahihi wangeqweza kuokoa watu wengi zaidi kwa sababu tatizo wameliona- MAJERUHI WALIVUTA MOSHI MWINGI. Swali ni je majeruhi wa hivi hawatibiki?
 
"Quinine- unahakika? Mie sikuona sababu; najaribu kuangalia utayari wa Muhimbili kutibu majeruhi wa kuungua moto na ambao huwa wamevuta moshi
Ulicholeta siyo utayari wa Muhimbili kutibu majeruhi wa moto bali ume google matatizo ya kupumua yanayosababishwa na mtu kuvuta moshi, lkn isiwe issue tujadili unachotaka tujadili.
 
Ulicholeta siyo utayari wa Muhimbili kutibu majeruhi wa moto bali ume google matatizo ya kupumua yanayosababishwa na mtu kuvuta moshi, lkn isiwe issue tujadili unachotaka tujadili.
Quinine, soma kichwa cha habari niliyoleta utatambua wapi hauko sahihi
 
Maswali yako mengi yana majibu na yalishajibiwa hapa duniani . Tatizo ni kwamba hujashughulisha ubongo wako kutafuta majibu badala yake unataka kukufuru. Huna tofauti na mtu aliyedanganywa anywe jiki kwa sababu inaondoa dhambi halafu kwa ujinga wake akataka kulaumu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa mataifa! Biblia imeandika
nijibu tena haya maswali yangu

Na usinitishe tafadhali

Hauna hayo mamlaka ya kunitisha ett ooh nakufuru

What the fck
 
Moto ulivyotokea tukasema tumwachie Mungu sio
Na hawa wanaokufa tumwachie Mungu tena sio

Cc Kiranga

Kwa nini aruhusu mateso kwa anaowapenda

Why kwa nini ani ili agundue nini kwa mfano bafo na maswali mengi sana kwa Mungu kikubwa uzima nifike mbinguni anijibu haya maswali yangu

Kama hataki kuulizwa maswali atakua kama mjinga sasa alitupa ubongo wa kufikiri wa nini

Mimi na maswali nae mengi sana
Mungu angekuwepo, moto usingeweza kuunguza mtu.Ungepika chakula na kuchemsha maji ya kuoga tu.

Mungu angetengeneza sheria ya asili moto ukitaka kumuunguza mtu tu, uzime wenyewe.

Kwanini hakuumba hivyo ikiwa uwezo wote anao, ujuzi wote anao na upendo wote anao?
 
Mkuu unataka utangulie mbinguni Mungu akakujibu? Kila tukio lina sababu zake, kuonya, kufundisha, kukumbusha nk, tulionywa tukio la Mbeya tukajisahau, katukumbusha kupitia tukio la Morogoro.
Anatuonya ili iweje ?

Mbona dereva na mama abiria nao wamekufa vibaya

Mimi nielekezeni kwa nini anaruhusu haya !

Nna uchungu sana moyoni

Sasa akitokea mjinga mmoja aanze kunambia nakufukuru

Ndo atafanya nizidi kuwa na mashaka na huyu Mungu nayemwamini
 
Baba Swalehe, nakubaliana na wewe kuwa bila Mungu hakuna kifo- Mungu alisha tupatia kifo na namna kitakavyo mjia kila kiumbe chake
 
Mungu angekuwepo, moto usingeweza kuunguza mtu.Ungepika chakula na kuchemsha maji ya kuoga tu.

Mungu angetengeneza sheria ya asili moto ukitaka kumuunguza mtu tu, uzime wenyewe.

Kwanini hakuumba hivyo ikiwa uwezo wote anao, ujuzi wote anao na upendo wote anao?
Kuna mtu amenambia hapo juu ni funzo anatufundisha

Pia amenionya kwamba naelekea kukufuru

Sasa kwa nini alipa ubongo wa kufikiri yaani nisihoji akati naona mambo si sawa

Kiranga hebu fikiri mimi mfano mimi ni mmoja waliopoteza ndugu kwenye ile ajali yaani nimepoteza baba mama na kaka hebu fikiri hali yangu ni mfano maana wapo waliokumbwa na hilo

Kwa nini aruhusu ?

Mimi bado namwamini nahitaji anijibu
Baba Swalehe, nakubaliana na wewe kuwa bila Mungu hakuna kifo- Mungu alisha tupatia kifo na namna kitakavyo mjia kila kiumbe chake
Kwa nini wote muda wa kufa

Tusingekua tunalala au tunadondoka tu chini puuuu then kimya

Sasa kwa nini wengine wafe kwa mateso mzee na hawana kosa lolote

Sasa kwa mfano mmama amembeba mtoto anauza vitumbua akamwaga vitumbua kwenye ndoo ile ndoo akaenda kubebea mafuta

Moto ukalipuka wote wakafa

Mtoto alikosea nini hapo ? !

Nijibuni haya maswali sihitaji vitisho vya kukufuru

Bado namwamini Mungu sasa mnavyonitisha ndo mnaniweka kwenye wakati Mgumu sana wa kumwamini !
 
Maswali yako mengi yana majibu na yalishajibiwa hapa duniani . Tatizo ni kwamba hujashughulisha ubongo wako kutafuta majibu badala yake unataka kukufuru. Huna tofauti na mtu aliyedanganywa anywe jiki kwa sababu inaondoa dhambi halafu kwa ujinga wake akataka kulaumu. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa mataifa! Biblia imeandika
Umeongea mambo ya jiki hapa two things un related

Tunaongea mambo ya moto hapa

Hafu usinitishe tafadhali huna hiyo mamlaka

Maarifa gani ambayo tupate ili tusiangamie kama hao watu wa morogoro

Hebu nipe hayo maarifa
 
Shida za kupumua ni kama sababu kuu ya kifo kwa wagonjwa wanaowaka. Matatizo ya kupumua yanayoweza kuua ni pamoja na majeraha ya kuvuta pumzi, hamu ya maji na wagonjwa wasio na fahamu, pneumonia ya bakteria, edema ya pulmona, kizuizi cha mishipa ya pulmona, na kushindwa kwa kupumua kwa postinjury. Majeraha ya kuvuta pumzi ya moja kwa moja, ambayo inaweza kusababisha shida zingine za kupumua, ni kawaida sana. Aina tatu za msingi za majeraha ya kuvuta pumzi ya moja kwa moja ni kuvuta pumzi kwa joto kavu na sabuni, sumu ya monoxide ya kaboni, na kuvuta pumzi ya moshi.

Mgonjwa yeyote anayeweza kupata majeraha ya kuvuta pumzi anapaswa kupokea uchunguzi wa bronchoscopic ya barabara ya hewa. Uchunguzi huu unaweza kufunua kiwango cha jeraha la kupumua na kusaidia katika kupanga matibabu inayofaa. Huduma ya uuguzi ya kila mmoja kwa kila mmoja mara nyingi inahitajika kutoa matibabu inahitajika ya mapafu. Katika hali nyingi, bomba la endotracheal hupitishwa ndani ya mapafu, na mgonjwa huwekwa kwenye uingizaji hewa wa mitambo. Kwa kupeana hewa chini ya shinikizo la kila wakati, kiingilizi husaidia kuweka mapafu yamejaa; misaada hii katika kudhibiti na kuzuia atelectasis (kuanguka kwa roho za hewa). Vinjari pia inaweza kutumika kurekebisha mapafu yaliyoanguka. Kwa kuongezea, mashine inaweza kutoa viwango tofauti vya oksijeni na athari katika hewa iliyoongozwa. Wagonjwa ambao wamepata kuvuta pumzi ya moshi hupewa viwango vya juu vya oksijeni iliyojazwa. Wale walio na sumu ya kaboni ya monoxide hupata oksijeni ya asilimia 100 hadi kiwango cha damu cha carboxyhemoglobin iko chini ya asilimia 20.
UMBONI: https: //www.britannica.com/science/burn/Hospital-treatment
S
Bila shaka haya ni mambo ya Google translator
 
Mkuu hii lugha ungeiweka pia kwende kichwa Cha habari ingefaa zaidi...

Lakini kiuhalisia wale watu walikuwa mahututi Sana, waliungua Sana hata kwenye ambulance nyama zilikuwa zinaanguka tu kitandani,

Hata kama Muhimbili wangekuwa na Burn Center kubwa namna gani wale wagonjwa wasingepona bali wengi wao wangekufa tu, Tanzania tumebarikiwa kuwa na maaskofu na manabii pamoja na akina Gwajima, Mzee wa upako, Mtume Mwingira, Askofo Fernandez, Kakobe etc ambao wangeweza kufanya maombezi yao kwa Mungu hata wakiwa watupu bila majoho ili tuone miujiza yao wanayoitangaza kila siku bado wasingeweza kupindua meza ya matokeo na bahati nzuri hapa walijua hawatapata kitu na matokeo yake wakawaachia Madaktari watumie ujuzi wao huku wao wakisubiri lini kuna munuso pale gate kali, Mkuu hizo nyama unazosema zilikuwa zinadondoka ndani ya Ambulance maana yake tayari zilikuwa zimeiva yaani laini kabisa basi unapashwa kuelewa kuwa ndivyo hivyohivyo athari ilivyokuwa ndani ya mapafu yaliyounguzwa na moto uliomezwa na waathirika wengi ambao walifanikiwa kutoka katikati ya wingu zito la moto huo, Mleta hoja anajaribu kutueleimisha elimu ya kuungua na matibabu yake na ni kweli lakini hajasema ni wapi duniani wagonjwa wa namna hiyo waliwahi kupona pamoja na kuwa na vifaa vyote muhimu? hata hivyo isiwe sababu madaktari wetu wanapaswa kuwa wakweli kweli na waanze upya kuangalia Medical ethics zao na practice of Euthanasia ili twende na wakati
 
Kuna mtu amenambia hapo juu ni funzo anatufundisha

Pia amenionya kwamba naelekea kukufuru

Sasa kwa nini alipa ubongo wa kufikiri yaani nisihoji akati naona mambo si sawa

Kiranga hebu fikiri mimi mfano mimi ni mmoja waliopoteza ndugu kwenye ile ajali yaani nimepoteza baba mama na kaka hebu fikiri hali yangu ni mfano maana wapo waliokumbwa na hilo

Kwa nini aruhusu ?

Mimi bado namwamini nahitaji anijibu

Kwa nini wote muda wa kufa

Tusingekua tunalala au tunadondoka tu chini puuuu then kimya

Sasa kwa nini wengine wafe kwa mateso mzee na hawana kosa lolote

Sasa kwa mfano mmama amembeba mtoto anauza vitumbua akamwaga vitumbua kwenye ndoo ile ndoo akaenda kubebea mafuta

Moto ukalipuka wote wakafa

Mtoto alikosea nini hapo ? !

Nijibuni haya maswali sihitaji vitisho vya kukufuru

Bado namwamini Mungu sasa mnavyonitisha ndo mnaniweka kwenye wakati Mgumu sana wa kumwamini !
1566453911131.png

Hii ni picha imewekwa na mdau hapa JF anadai ni ya tukio la Morogoro-sasa jiulize walitoa wapi madumu kwa wakati mmoja na wakafika pale na kuanza kuchota mafuta?
 
Anatuonya ili iweje ?

Mbona dereva na mama abiria nao wamekufa vibaya

Mimi nielekezeni kwa nini anaruhusu haya !

Nna uchungu sana moyoni

Sasa akitokea mjinga mmoja aanze kunambia nakufukuru

Ndo atafanya nizidi kuwa na mashaka na huyu Mungu nayemwamini
Mkuu ukipata muda pitia thread hii kwa lengo la kuongeza maarifa tu, watu wanajadili makosa aliyotenda Mungu ikiwa ni pamoja na kwanini Mungu analeta majanga.

Pale ambapo unaweza kuona una akili au una hekima
Hapo ni sawa na UPUMBAVU KWA MUNGU
Moto ulivyotokea tukasema tumwachie Mungu sio
Na hawa wanaokufa tumwachie Mungu tena sio

Cc Kiranga

Kwa nini aruhusu mateso kwa anaowapenda

Why kwa nini ani ili agundue nini kwa mfano bafo na maswali mengi sana kwa Mungu kikubwa uzima nifike mbinguni anijibu haya maswali yangu

Kama hataki kuulizwa maswali atakua kama mjinga sasa alitupa ubongo wa kufikiri wa nini

Mimi na maswali nae mengi sana
 
Mkuu ukipata muda pitia thread hii kwa lengo la kuongeza maarifa tu, watu wanajadili makosa aliyotenda Mungu ikiwa ni pamoja na kwanini Mungu analeta majanga.

Hii thread nimeipitia sana ili sikucomment kitu nimeipitia yotee

Bado nautafuta ukweli mkuu

Kwa nini yatokee haya kwa nini ?
 
Pale ambapo unaweza kuona una akili au una hekima
Hapo ni sawa na UPUMBAVU KWA MUNGU
Mimi sina akili we kijana hata kidogo ya kumzidi mungu

Hebu jibu maswali yangu usiniletee porojo hapa maana naziskia toka miaka ya 80

Hivyo vitisho nmevisikia kutoka kwa watu mbali mbalj na mimi pia nmetisha watu mbali mbali

So discuss mada kwa kutumia akili na usilete vitisho hapa
 
Back
Top Bottom