Madaktari tusaidieni kuhusu kifo cha mapacha wale wa Iringa, Maria na Consolata

Asante Matola
Binafsi mimi ni Engineer (Professional) wa Computer Networking Technologies (Routing and Switching). Kuna jamaa yangu yuko lile jukwaa la Tech (nimemsahau jina), yeye ni Bingwa wa Network Security mpaka namtamania....
Nimecheka sana aisee
 
labda kwa kuwa sijawahi fuatilia kujua walikuwa wameungana kiasi gani hasa kwa viungo vya ndani, ila kuna mdau alisema mfumo wao wa damu/mishipa ya damu inahusiana yaani kuna point imeungana, kama ni hivyo basi hakuna shaka akifa mmoja na wapili alikuwa anafuata unless ungefanyika upasuaji wa kuwatenganisha tena haraka maana mfumo wa mzunguko wa damu ungekuwa wa shida/ mzunguko ungepungua na ku-fail maana mishipa ya aliyekufa isingefanya kazi tena kwa kukosa supply ya nerves toka kwenye ubongo wa aliyekufa.
Watu kwa nini bado hamuamini hilo?

sio hivyo tu, bado livor mortis effect( kama ni terminology mpya ingia google) kwa mwili uliokufa ingeleta athari kwa uliobaki hai hivyo kwa vyovyote naye angekufa tu.

NB: maelezo yanaweza badilika baada ya kujua walikuwa wana'share viungo vipi na systems zipi.
Na ingekuwa ni kwamba hakuna vital systems wanazo'share nadhani wangeisha tenganisha kitaaambo sana tena hapa hapa bongo, ila ilionekana ni ngumu kufanya hivyo bila shaka ni kwa kuwa kuna vitu vya msingi katika miili yao wana'share pamoja.

Asante Dr nimekusoma, maana tumewasubiri sana mtoe majibu.

Hii kitu ilinisumbua sana nikakosa profession Dr ambae atanieleza, nikamuwaza Dr Fulani wa moyo, ni mzuri tuu,nilimkosa sina access nae kwa sasa. Nikaingia google, nilijisikia kuumia baada ya kusoma maelezo Yale, Mungu ana yake,niligundua ilibidi wote wafe. Nikagundua kuwa hata yule mwingine angebaki alistaili kifo cha lazima. Dah niliumia sana
 
ni kweli inauma sana.
Huenda Mungu kaamua kuruhusu wapumzike mapema akiwa na makusudi yake hatuwezi jua, ni bora kushukuru kwa kila linalotokea.

Ila cha ajabu baada tu ya kufariki kwa wale mapacha, kuna wengine walizaliwa hospitali ya St. Theresia kama sikosei, nao wameungana wanataka kufanana na kila Maria, wakati naona video ya hiyo habari nilijiuliza mengi.
 
Kweli nimewaona
 
pamoja na hayo yote mwenzake ilibidi afe kwa sababu maumivu ya kuona mwenzake katangulia ni makubwa sana , kwa mantiki hiyo lazima kungefanyika kitu cha ungwana waende wote. ma dr mnaelewa nini cha kufanya kwa situation kama hii.

Kama natural process ingechukua muda mrefu, mzima angepewa dawa ya usingizi kusubiria wakati wake ufike.
 
Back
Top Bottom