S Spellan JF-Expert Member Jun 15, 2011 307 14 Sep 20, 2011 #1 JF Doctors,,, nini chanzo na matibabu ya malienge (kengeza) kwa watoto wachanga?
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Sep 20, 2011 #2 Napenda kujuzwa pia!yanasababishwa na nini!!?
TUNTEMEKE JF-Expert Member Jun 15, 2009 4,587 579 Sep 20, 2011 #3 jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
Evarm JF-Expert Member Aug 30, 2010 1,934 1,400 Sep 21, 2011 #4 Gemmy said: jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke Click to expand... Is this a scientific reason?
Gemmy said: jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke Click to expand... Is this a scientific reason?