Madaktari na wenye ufahamu saidia

Spellan

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
307
14
JF Doctors,,, nini chanzo na matibabu ya malienge (kengeza) kwa watoto wachanga?
 

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
576
jamn huu ni uumbaji wa Mungu and inahappen tu mtu kaazaliwa hivyo ni sawa na mtu kazaliwa mwanaume au mwanamke
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom