Madaktari Mt. Meru Arusha wala njama kumuua mgonjwa

Hapana aisee imetokea lini na Ni ajali ya nn vp anaendeleaje yule mzee dah na umri ule tena anapata ajali.

Pole nyingi zimfikie huko alipo na MUNGU amweke salama arudi kukaa na WAJUKUU zake salama.
Aligongwa na gari akiwa njiani maeneo ya nyumbani kwake aliumia sana kcmc walimsaidia lakini hakuweza kupona kurudi duniani asee.Alituacha kwa majonzi sana
 
Back
Top Bottom