monditesha
Member
- Jul 12, 2015
- 57
- 47
1.4m hapo hujakatwa itax nk nk , ukitaka mshahara mzuri uwe mwanasiasa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
unachoongea ni sawa na ndiyo maana nilipofaulu advanced ikanibidi niende engineering sasa mambo bata tu kazi nyingi mshahara munono na muda wakufanya kazi binqfsi wakutosha.ILA KIUKWELI UKISOMA PCB UNAKUWA NA OPTION YA KUSOMA FACULTY NYINGI SANA CHUO KARIBU ZOTE
Kama 1.4 basic net 1.1 roughly1, 400, 000/= kwa ngazi ya digree serikalini
Hospitali za wilaya zina pia zina clinical officers, unataka kusema na clinical officer ni daktari?Hawa wa hospital za wilaya mpaka hao madaktari bingwa.
Olevel nilipewa cheti cha usafiWeye kwa asili ni mchafu bila shaka.
so, huo ni wa kuanzia, je mshahara unapanda kwa wastani wa asilimia ngapi kwa mwaka?Hiyo 1.48Million ni Basic Salary.
Na kwa sababu kwa sasa wengi wao hawana tena marupurupu mengine, Gross Salary inakuwa sawa sawa na hiyo Basic Salary.
Kujua Net Salary yao, hapo inategemea na Makato kutoka kwenye basic salary yao, Wengi wao kwa wastani wanakatwa Kodi (18%), Mifuko ya Pensheni (6%), Bima ya Afya (4%), Chama cha wafanyakazi (2%) na Bodi ya Mikopo (15%) nk. Hivyo kwa ujumla wanakatwa kama 45% kutoka kwenye basic salary yao, na hapo wanaishia kupata wastani wa Net salary(Take home) ya wastani wa shilingi 850,000/= kwa mwezi.
Kumbuka huo ni mshahara wa Daktari wa ngazi ya juu katika ajira za serikali anapoanza kuajiriwa hapa Tanzania.
Kwa ajira za utumishi wa serikali, Degree ndio ngazi ya juu katika kuajiriwa, na katika fani ya utabibu degree ni Medical Doctor(MD) na hivyo huyo ndio medical Officer(Daktari) kisheria.
Na huo ndio mshahara wake anapoanza kuajiriwa serikalini. Na huenda ndio Mtumishi wa serikali wa kitaaluma anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko fani zingine zote zinazoajiriwa serikalini kwa sasa.
Zipo ngazi zingine katika fani ya Utabibu za chini kama Asistance Medical officer, Clinical Officer, Assistance Clinical Officer. Mishahara yao iko chini ya hapo, pia watumishi hawa kijamii wanajulikana kama madaktari japokuwa sheria haziwatambui kama madaktari(Medical officer).
SOURCE:Tume ya utumishi wa Umma nk.
Yeah, na tangu 2013 walomaliza internship hawajaajiriwa serikali inasema haina uwezo wa kuwaajiri hata waloajiriwa wanalalamika mshahara ni mdogoWa tanzania au?
Hapana nina marafiki wanaosomea udaktari, ndio wapo internship mwaka huuHaha kuna kadoctor kanakutongoza nini?? Unataka jua mshahara ili umjaze king
Sent using Jamii Forums mobile app
Vepe mbona upo curious una boyfriend anayeanza kazi hiyo nn?
Mwambie huyo kama unasoma PCB na unayataka matokeo mazuri lazima kupiga pasi iwe historia!!!
Olevel nilipewa cheti cha usafi
Kwani kada gani wanao jipendaBasic salary ni 1.4 M
By then madaktari wana mishahara ya kawaida sana.
Hapo nmekusoma,,huku kwa medicine sis hatuko kwa ajil ya mshahara wito ndio umetuleta huku..na kwakuwa ulikua kimaslai zaid bora hata ulivyoenda huko coz ungelete balaa kwa maisha ya watu...sis huku hatunaga mda wa kufanya mambo binafs mda wote nkuhudumia umma...na ndio maana tunakosaga hata mda wa kuchana nywele...unachoongea ni sawa na ndiyo maana nilipofaulu advanced ikanibidi niende engineering sasa mambo bata tu kazi nyingi mshahara munono na muda wakufanya kazi binqfsi wakutosha.ILA KIUKWELI UKISOMA PCB UNAKUWA NA OPTION YA KUSOMA FACULTY NYINGI SANA CHUO KARIBU ZOTE
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
samahani ila migomo ya nn mkuu?Hapo nmekusoma,,huku kwa medicine sis hatuko kwa ajil ya mshahara wito ndio umetuleta huku..na kwakuwa ulikua kimaslai zaid bora hata ulivyoenda huko coz ungelete balaa kwa maisha ya watu...sis huku hatunaga mda wa kufanya mambo binafs mda wote nkuhudumia umma...na ndio maana tunakosaga hata mda wa kuchana nywele...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi weweKwani unadhani kwenye kundi la wachafu hakuna mwenye afadhari?
Hao walikuja kwa Bahat mbaya kwenye medicinesamahani ila migomo ya nn mkuu?
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Akijibu naomba unitagsamahani ila migomo ya nn mkuu?
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Huyo doctor uliyemuona atakuwa muhenga wa sasa wako very smartKatika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI..
Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani ukadhani ni kichaa unakuta kavaa nguo hazijanyooshwa, viatu vichafu, nywele hajachana yaani yupo ovyo ovyo tu...
Madaktari badiliken bwana kama mnavokuwa wasafi maeneo yenu ya kazi basi hata mtaani kuwen hivyo