Madaktari mnalipwa mshahara mzuri lakini mnaishi maisha ya kuunga unga sana

Kusom PCB sio tatzo,tatzo n end results ya hyo pcb

Sent using Jamii Forums mobile app
unachoongea ni sawa na ndiyo maana nilipofaulu advanced ikanibidi niende engineering sasa mambo bata tu kazi nyingi mshahara munono na muda wakufanya kazi binqfsi wakutosha.ILA KIUKWELI UKISOMA PCB UNAKUWA NA OPTION YA KUSOMA FACULTY NYINGI SANA CHUO KARIBU ZOTE

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Hiyo 1.48Million ni Basic Salary.
Na kwa sababu kwa sasa wengi wao hawana tena marupurupu mengine, Gross Salary inakuwa sawa sawa na hiyo Basic Salary.

Kujua Net Salary yao, hapo inategemea na Makato kutoka kwenye basic salary yao, Wengi wao kwa wastani wanakatwa Kodi (18%), Mifuko ya Pensheni (6%), Bima ya Afya (4%), Chama cha wafanyakazi (2%) na Bodi ya Mikopo (15%) nk. Hivyo kwa ujumla wanakatwa kama 45% kutoka kwenye basic salary yao, na hapo wanaishia kupata wastani wa Net salary(Take home) ya wastani wa shilingi 850,000/= kwa mwezi.

Kumbuka huo ni mshahara wa Daktari wa ngazi ya juu katika ajira za serikali anapoanza kuajiriwa hapa Tanzania.
Kwa ajira za utumishi wa serikali, Degree ndio ngazi ya juu katika kuajiriwa, na katika fani ya utabibu degree ni Medical Doctor(MD) na hivyo huyo ndio medical Officer(Daktari) kisheria.
Na huo ndio mshahara wake anapoanza kuajiriwa serikalini. Na huenda ndio Mtumishi wa serikali wa kitaaluma anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko fani zingine zote zinazoajiriwa serikalini kwa sasa.

Zipo ngazi zingine katika fani ya Utabibu za chini kama Asistance Medical officer, Clinical Officer, Assistance Clinical Officer. Mishahara yao iko chini ya hapo, pia watumishi hawa kijamii wanajulikana kama madaktari japokuwa sheria haziwatambui kama madaktari(Medical officer).

SOURCE:Tume ya utumishi wa Umma nk.
so, huo ni wa kuanzia, je mshahara unapanda kwa wastani wa asilimia ngapi kwa mwaka?
 
Usiseme "inasemekana" embu weka mshahara hapa alafu tuuchambue..alaf sio kila anayevaa koti jeupe na kutibu ni daktari..kuna ma-clinical officers (CEO) na wauguzi wengine ambao SI Madaktari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unachoongea ni sawa na ndiyo maana nilipofaulu advanced ikanibidi niende engineering sasa mambo bata tu kazi nyingi mshahara munono na muda wakufanya kazi binqfsi wakutosha.ILA KIUKWELI UKISOMA PCB UNAKUWA NA OPTION YA KUSOMA FACULTY NYINGI SANA CHUO KARIBU ZOTE

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Hapo nmekusoma,,huku kwa medicine sis hatuko kwa ajil ya mshahara wito ndio umetuleta huku..na kwakuwa ulikua kimaslai zaid bora hata ulivyoenda huko coz ungelete balaa kwa maisha ya watu...sis huku hatunaga mda wa kufanya mambo binafs mda wote nkuhudumia umma...na ndio maana tunakosaga hata mda wa kuchana nywele...

samahani ila migomo ya nn mkuu?

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Katika kazi ambazo inasemekana zina mshahara mnono basi mojawapo ni kazi ya UDAKTARI..

Cha kushangaza ni maisha ya kuunga unga wanayoishi madaktari yaani unaweza kukutana na daktari mtaani ukadhani ni kichaa unakuta kavaa nguo hazijanyooshwa, viatu vichafu, nywele hajachana yaani yupo ovyo ovyo tu...

Madaktari badiliken bwana kama mnavokuwa wasafi maeneo yenu ya kazi basi hata mtaani kuwen hivyo
Huyo doctor uliyemuona atakuwa muhenga wa sasa wako very smart

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom