tonnyalmeida
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 226
- 46
Damu ya kuongeza wagonjwa mahututi inauzwa ingawa kanuni ya tiba inakataza kufanya hivyo kwani hata wanaojitolea damu hawauzi damu yao kwa hospitali husika. Benki ya damu ni kwa ajili ya dharura lakini ukifika na mgonjwa madaktari watakuambia lipa mathalan elfu 50,000 ili mgonjwa wako aongezewe damu kama huna fedha unatakiwa kwenda kutafuta ndugu na jamaa wa kujitolea damu hata kama ipo lakini wakati huo mgonjwa kabakiza muda wa nusu saa damu itakwisha mwilini na asipopata damu daktari anakuambia atakufa. Ukitoa fedha damu inaletwa mara moja.
My take: - mazingira ya kugoma kwa maelezo kwamba serikali iboreshe mazingira ya kazi ni kweli?
- Kama wanaojitolea damu bure wangekuwa wanauza bei yake ingekuwa ya juu kupita kiasi
tusingeiweza wengi na tungekufa.
- Je mazingira bora ya kazi ni tiketi ya pekee ya mgonjwa kupata huduma bora?
Je huduma bora ni vifaa vya kazi pekee au inaambatana na roho ya daktari na muuguzi?
PROPAGAN"D SIO NJIA SAHIHI YA KUTATUA MGOMO WA MADAKTARI, TUNAJUA UMETUMWA.. NA MIMI NAKUTUMA NENDA KAMWAMBIE BOSI WAKO ALIYEKUTUMA KUWA ATAFUTE SULUHU YA matatizo ya nchi hii na sio propaganda.WATANZANIA WA SASA WANAELEWA sio misukule. WAKATI WOTE MLIKUWA WAPI KULETA MIJADALA KAMA HII HADI MSUBIRI MGOMO NDO MJIFANYE kuzungumza...
HAUNA BUSARA HATA KIDOGO.
USIONGEE KWA KUTUMIA ******, LETA USHAHIDI WA DAKTARI ALIYEUZA DAMU.