watanzania bado sana, yaani roho za watu zinapotea mnadai aluta continua!!! si mnge subiri hao wakubwa waugue mgome kuwaandikia rufaa ya kwenda India? sasa hao wananchi wanao kufa ndio walio wanyima hizo pesa mnazo dai? kama kweli hoja na mgomvi wenu ni serikali mngegoma kuwatibu na kuwapa rufaa za kwenda nje, Watanzania karibu woote wangewaunga mkono lakini kwa sasa mnaua watu tu na mtaendelea kuua tu maana hayo madai yenu hata serikali ikikubali yoote leo hamtafanya kazi wagonjwa watakuja tu sababu hawana jinsi. generally the trust and respect to you Docs is gone! you have let down the white uniform of the medical personnel, when you come back vaeni red or black!
NOTE: Zimbabwe kuna Typhoid ya kufa mtu nendeni mkatibu mtakua mabilionea chap chap! ila atleast mtafanya your noble job of saving life, hata kama ni nje ya Tanzania.