fikrapevu sungura
Senior Member
- Oct 26, 2011
- 110
- 11
Na bado mambo yatakuwa mambo.
Rais hajasaini.
KCMC walikuwa wanajivunia residents..tuone ujanaja wao sasa!
Msijali wabunge watavaa makoti ya madaktari na kuingia kazini. Si kuna akina Prof. Maji Marefu!!!!!
Adui wa miti sio shoka bali mpini wa shoka utokanao na miti!jana,mkurugenzi aliwaitia mapolisi madaktari walio katika mafunzo ya vitendo-waliokuwa katika 'vikao' vyao!
Huu si muda wa vitisho jamani-ni muda wa majadiliano!mnalazimisha punda kwenda mtoni hamwezi kumlazimisha kunywa maji!
Mpumbavu mwenyewe, watanzania unao wasemea ndio wapi? hao wanaokomba laki mbili kwa kusugua makalio yao kwenye viti vyekundu?Acheni upumbavu, msicheze na afya za watanzania... *&**& nyie...
Madaktari leo asubuhi wameukoleza moto kweli kweli!madaktari waliokwenye mafunzo ya vitendo (interns) wanazunguka tu wodini leo na madaktari wakazi(residents) wamekusanyika jengo la chuo cha kcmc wakiomba kupewa madarasa ya kusomea. Hii inatokana na vitisho walivyopewa na mkurugenzi wa hospitali kwamba hawaruhusiwi kugoma kwa sababu wao ni wanafunzi!
Madai yao ni kwamab 'sisi ni wanafunzi wa chuo hivyo hatuendi hospitali kutibu!tupewe madarasa tusome!'
Aluta continua