Madaktari chonde chonde

Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..

Hebu tusaidiane mawazo. Njia mbadala kama ipi ambayo serikali yetu hii unavyoijua na kiburi chake inaweza kuikubali?
 
Nilitegemea kuona michango ya watu kuitaka serikali na madaktari wafikie mwafaka lakini cha ajabu michango ya watu wengi hapa wanataka madaktari wagome....sidhani kama nyie kweli mna uchungu na madai ya madaktari kuliko ndugu zenu watakaokufa mahospitalini kama ilivyokuwa katika mgomo wa awali.

Muafaka gani kama serikali imekaidi matakwa ya madaktari?watafanyaje kazi chini ya waziri na naibu wake walioshndwa kutimiza wajibu wao,mifano alisi inatolewa wagonjwa wanakufa kwa kukosa vitendea kazi,mfano wanafanyiwa operesheni wanakufa mbele ya madaktari bingwa kwa kukosa oxygen,hii ni nini kama sio kudhalilisha taaluma ya u Dr na kusababisha vifo visivyo vya lazma kwa Watanzania?usiwe na ushabiki wa ki****a wa kuchanganya siasa,taaluma na maisha ya waTanzania,lazima ufahamu kua madai ya msingi ya madaktari ni uboroshwaji wa msingi wa huduma za afya,sio unakurupuka na kuja kuleta porojo hapa!kama hauna hoja kaa pembeni jifunze toka kwa michango ya wenzako,shame on you
 
mazingira ya kazi hayajaboreshwa

mponda na nkya hawajawajibishwa

hakunawaraka wowote kutoka serikalini unaoelekeza juu ya mabadiliko ya maslahi ya madaktari.pinda amedanganya tena!!kamati yake imeshakula perdiems,kamati ya bunge ya huduma za jamii imeshavuta perdiems,tunasubiri vifo vingine ndo tuamue???

Duh sina kuongeza, umesema yote. Ajabu ya mwaka ni kwamba watu wamekufa sababu kubwa ni viongozi wa wizara kushindwa kuwajibika. Yaani Haji na Lucy ndo muhimu kuliko hawa watanzania walopoteza maisha yao?

Haji and Lucy must go.....madaktari wakirudi kazini bila madai yao kutekelezwa hatutawaelewa hata kidogo. Nchi hii bila migomo haiendi kabisa

Na sisi wananchi ni lazima tudai haki yetu ni kupata huduma bora za Afya kutoka kwa watawala wetu. Ni muhimu na lazima this time tuanze kugoma na madaktari kushinikiza hii serikali 'sikivu' iwajibike ipasavyo

Aluta continua madaktari
 
Madaktari wana haki ya kudai madai yao......lakini kugoma tena,watu wa chini watakuwa wanaumia sana,nafkiri watafute njia nyingine mbadala ya kudai madai yao..

Watu wa chini? Basi nyie watu wa chini ingieni rodini on behalf of doctors mkadai haki zao nao wabaki kazini, otherwise shut ur fingers! Let them gomaz hata mpaka mwakani mpaka wapewe haki zao! Hv umeshaona mazingira wanamofanyia kazi, mafao wapatayo na the way wanachukuliwa ktk nchi hii? Bora madaktari wanaogoma live kuliko waalimu waliogoma kimya kimya huku wakiharibu kizazi hki kwa kuleta wasomi mbumbumbu! HV ULE UTABIRI WA TB JOSHUA SI IWE NI HLI LIPIMBI LETU NDO LINATANGULIA TU? Mungu tuangalie kwa huruma, uturehemu na huu msalaba ututue, tupumzike....!
 
Hao madokta nadiriki kuwaita hayawani, nadhani wamerukwa na akili. Wamegoma kujadili kwenye kikao kisa kuna wauguzi , watu wa maabara na wafamasia kwahiyo wao wanajiona ni bora kuliko tAaluma za wenzao. Kama wanampango wa kugoma bora wagome tu lakini wajue wanao suffer ni kina baba kabwela.

Hayawani ni wewe unaejidai haujui hali halisi. Kuna faida gani dokta kuingia kazini hali hakuna dawa, wala chochote cha kufacilitate tiba? Hayawani ni mzazi wako alozaa hayawani km wewe unaetetea serikali mfu kwa kuwaua watu wake wenyewe. Let say m2 anapelekwa theatre kupasuliwa, bingwa yupo, vifaa hakuna, dawa hakuna, umeme hakuna, daktari anaingia mfukoni mwake anajinunulia vifaa vile muhmu then atafanya ivyo mpaka lini hali fungu la kununulia vifaa zishaenda kuhongea mademu wa ba mwanaasha? Damu za wote watakaokufa na ikawe juu yao na familia zao wote wanaokula na kutapanya kodi zetu pamoja na hao wanaoshabikia madhila yanayowapata madaktari! AMEN!
 
Napita nitarudi badae bhana
 
Hahahah mkuu nahisi jamaha angekuwepo karibu ungempa kibao kitakatifu kwa jinsi ulivyochukia,kweli watu wengine wanaboa sana,kazi yao kudandia hoja wakati hawajuhi A wala C,Tanzania bado kazi ipo sana kupata idadi kubwa ya wananchi wanaojielewa
 
Hili ni janga kubwa sana kwa taifa. Michango mingi hapa ni watu wanataka madaktari wagome ili wagonjwa waumie zaidi kwa nini?Fikra nyepesi ni kuwa wananchi wamechoka na uwendeshaji wa serikali ya jk. Liwalo na liwe ndio matokeo huwa madhara makubwa na viongozi wetu hawajali. Serikali lege lege.
 
Hahahah mkuu nahisi jamaha angekuwepo karibu ungempa kibao kitakatifu kwa jinsi ulivyochukia,kweli watu wengine wanaboa sana,kazi yao kudandia hoja wakati hawajuhi A wala C,Tanzania bado kazi ipo sana kupata idadi kubwa ya wananchi wanaojielewa
wa tz wengi hatuwezi ku reason na ni non risk taker
 
Naona unalinganisha mlima na kichuguu

Na lazma ajue kua kipindi cha Nyerere walikua ni waadilifu,hakuna kubebana katika nafasi za uongozi na kulikua hakuna propaganda za k****a ktk maisha ya watanzania
 
Tatizo la Tanzania ni kwamba, kupata uongozi ndio mafanikio makubwa ya mtu kufurahia. na si kujivunia umefanya nini kwenye nafasi hiyo uliyofikia. ndio maana viongozi wengi wame relax kwenye vyeo walivyonavyo. hii ndio sababu unaona hakuna hata tatizo moja hapa tanzania limetatuliwa na kuisha kabisa.
nakubaliana na wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom