Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
we mwenyewe umemaliza la 7 kwa mbinde unajidai kila m2 anaweza kusomea udaktari, acha upu**
ukishindna na kapuku utakuwa kapuku sijui
nafikiria ntamsaidiaje huyu jamaa
we mwenyewe umemaliza la 7 kwa mbinde unajidai kila m2 anaweza kusomea udaktari, acha upu**
haya ni majibu ya blandina kabla mgomo haujashika kasi,lakini leo kawafuata madaktari na kutaka kuongea nao.
mimi naona madaktari hawajaeleweka na kilichobaki ni kuanza mgomo wa kutokula(hunger strike)
ni bora wafe wakitetea huduma bora za afya kuliko................
katika madai yao,sijasikia madaktari wakidai walipwe vizuri kuliko fani flani au fani zote. walichofanya wameji-value, wakaona huo ndio mshahara na marupurupu wanaotakiwa kupata wao. hawajazungumza wala kupinga fani nyingine nazo zisiongezewe. so ni kazi ya walimu na fani nyingine nao kuji thaminisha then walinganishe wanachopata na wanachostahili kupata.Ila alichoongea gango2 kina point kwa namna flan, iweje madaktari watake kupewa mil 3.5? Je wana umuhimu kuliko walimu? Maana walimu ndo wanawafundisha hao madaktar na manesi na wahudumu wengne wa afya, basi nao walipwe mil 7.