Madaktari 38 waondoka nchini

Madaktari 38 waondoka nchini

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38.

Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji . Anasema tropical doctors wanahitajika na nchi za kitropical na wao wanapeana habari watazidi kuondoka wengi
 
Kwakuwa kazi ya udaktari ni wito, basi nao wameamua kuitikia wito wa nchi zinazowahitaji.

Ngoja sisi tuendelee na siasa zetu za blandina nyoni, hadji mponda na mizengwe pinda, kwakuwa ndizo tunazoweza!!
 
waJF jokes aside;

Mwaka jana alone, madaktari zaidi ya 30 waliondoka na cha kusikitisha zaidi wengine ni wale waliokua wamemaliza tu post graduates course muhimu kabisa kwa nchi, vijana na wenye vision... one time nilikutana na three doctors kwenye ndege moja na kila mmoja alisema hatarajii kiurudi hadi hali ibadilike, na nionavyo mimi hakuna changes... kibaya zaidi wanaoondoka ni wale wenye unique talents

we are losing doctors in high numbers and i am worried kama serikali haitachukua uamuzi wa haraka, nchi inaweza kupoteza hata 1000 drs in the next 12 months kwasababu kazi zao zipo kila kona na hasa kwenye hii dunia ya development funds
 
kwa kweli ni hatari we tanzanias need to do something on this.
 
This is very dangerous and disgusting brain drain, due to myopic leaders of our country,please take quick action to resolve this brain drain,they were educated kwa kodi ya wavuja jasho,na ni hasara kwa taifa ukizingatia wengi wao hata deni la kusoma hawajaanza hata kulipa.

Msibweteke na hao madaktari wa jeshi amabo kwanza ni wachache na kwa scale ya jeshini wana mishahra minono na privellege kibao kama discounted prices kwenye maduka yao.

Mikopo isiyo na interest,bia za motisha,nyama ya motisha,free meal and meal allowances etc,hivy hawana interst na hayo madai,pia ni wachache na hawatakidhi hata 5% ya demand endapo madaktari wetu wataondoka.

Sitashangaa sana kuona serikali inaweka kiburi na kuacha madaktari wanatimka na mwisho wa siku wana import doctros from Cuba na China kwa mkataba wa miaka 5 na mkopo wenye ''nafuu''
 
Familia zao hazitakula maneno ya "udaktari ni wito" bali net income iingiayo kila mwisho wa mwezi kama mshahara, acha waende wakatafute greener pasture
 
na there is no way utasitisha kutoa passport kwa madr kwa sabaki ni haki ya kikatiba for movement. wana JF tufanye nini kunusulu taifa letu kukosa madr
 
Kwakuwa kazi ya udaktari ni wito, basi nao wameamua kuitikia wito wa nchi zinazowahitaji.

Ngoja sisi tuendelee na siasa zetu za blandina nyoni, hadji mponda na mizengwe pinda, kwakuwa ndizo tunazoweza!!

ndicho alichokisema haswa kwamba hapa tanzania hawatakiwi kuna nchi zinawataka na mshahara unanegotiate sio hi yetu ya TGS
 
Hayo ni matokeo ya nchi isiyokuwa na "vision"...

Siyo madaktari tu wa binadamu bali na field nyingine - Chuo nilichosoma darasani tulikuwa 25 kwenye kozi yetu - kati ya hao 10 wapo nje ya nchi na hawana mpango wa kurudi...

La ajabu kabisa hata wanaorudi wanarudi kama wafanyabiashara au wanasiasa!!!
 
Nilitoa onyo kami hii siku ya kwanza tu ya mgomo wa madaktari nchini lakini kwa kuwa viongazi wetu serikalini wao madaktari wao wote wako hospitali ya Appolo nchini India, wala tahadhari za sisi umma wa Tanzania kuwepo kwenye hatari ya kukimbiwa na madaktari wetu hawa wala haikuwagusa kitu.

... ama kweli ajizi nyumba ya njaa; daahh, viongozi viumbe vizito wenye kiburi cha kobe kama hawa akina Blandina Nyoni!!!! Hivi huyu KATIBU MKUU WA KWANZA NA WA MWISHO tanzania yetu hii anaondoka lini hapo wizarani?????

Mama kero na mikosi kuliko hata yule shetani wa Arusha Mary Chatanda!!! Hivi ana mume kweli huyu; keroooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!

wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38.

Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji . Anasema tropical doctors wanahitajika na nchi za kitropical na wao wanapeana habari watazidi kuondoka wengi
 
na there is no way utasitisha kutoa passport kwa madr kwa sabaki ni haki ya kikatiba for movement. wana JF tufanye nini kunusulu taifa letu kukosa madr

Mkuu usicheze na intelijensia ya bongo, haijui kitu inaitwa human right.
 
I hate huu msemo unaosema UDAKTARI NI WITO ama UWALIMU NI WITO naomba watu waelewe UDAKTARI NA UWALIMU NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE sawa sawa na polisi ama askari magereza, huwo wito ni wa nini kwanini usiseme UNAHODHA/URUBANI WA NDEGE & MELI ni WITO kwani wao hawana roho, hawana familia wanaishi kwa wito ama wanaishi kwa kufanya kazi!!
 
na mimi miezi miwili ijayo utakuwa mwisho wakula vumbi .
wanajeshi wanatosha , so hacha tunacheki maisha mbele
 
Wanaenda sehemu zenye green pastures but above all respect ya muajiri
 
wakiondoka tutawapa wengine udakitari. kwa sasa anatarajia kurudi 1 kutoka mkutanoni kule uswiss, ataendeleza fani. wagonjwa msihofu. kidumu chama cha mapinduzi
 
Kwakuwa kazi ya udaktari ni wito, basi nao wameamua kuitikia wito wa nchi zinazowahitaji.

Ngoja sisi tuendelee na siasa zetu za blandina nyoni, hadji mponda na mizengwe pinda, kwakuwa ndizo tunazoweza!!
hivi hapa najiuliza swali moja, mtu aliyechukua mkopo kusoma alafu akajaribu kudai haki zake Mh. Pinda akamfukuza kazi na akaondoka nchini, ni nani anawajibika kulipa huo mkopo!?

Back
Top Bottom