hivi hapa najiuliza swali moja, mtu aliyechukua mkopo kusoma alafu akajaribu kudai haki zake Mh. Pinda akamfukuza kazi na akaondoka nchini, ni nani anawajibika kulipa huo mkopo!?
kwa kutumia kanuni ya vicarious responsibility anawajibika Pinda.
hivi hapa najiuliza swali moja, mtu aliyechukua mkopo kusoma alafu akajaribu kudai haki zake Mh. Pinda akamfukuza kazi na akaondoka nchini, ni nani anawajibika kulipa huo mkopo!?
hii si habari njema hata kidogo
Tutaishia kuwasomesha na kuwanyanyasa, kwa ajili ya matumizi ya wengine ...
Sijui hii ni principle ipi kwenye "uwekezaji"
Tutavuna tulichopanda.