Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

ni kweli na mm ndioniliemtoa kwwnye shimo video ipo nilirekodi wenye namba yangu wanicheki whats app niwatumie
 
Kuna mmoja alianzisha uzi juzi kuwa sijui msukule umewekwa toka 2008 dah maskini mzee wa watu
 
Wachawi wanateteana hapa,kama hawapendi mambo yao kuonekana ni bora waache uchawi wao wa kufanya watu misukule vinginevyo watazidi kuumbuka na nyie mnaotetea ndio mnaumbuka hivoo!!
 
Kuna member mmoja kutoka Kenya alivalia njuga suala hili kwa kutoa kashfa chungu mzima!!!

Nilijitahidi kumuelimisha kwamba huyo mama ana matatizo ya akili tu, hakuna mambo ya uchawi wala nini sijui!
 
Hivi mfano mie Misukule ikikutwa nyumbani kwangu nitashtakiwa kwa kosa gani ilhali serikali haiamini uchawi?

je kwenye maelezo kituoni nitaandika maelezo ya kosa la kukutwa na misukule?

sielewi/ nielewesheni

Kuteka nyara mkuu.
 
Back
Top Bottom