Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

Hapo Wale jamaa wa kijani mapema sana wanatokaaa

Ova
Kabisa mkuu hivi vitu viwili tume huru ya uchaguzi na katiba mpya vinawabeba sana chama cha kijani ukijumlisha na polisi, tiss ndio kabisa, sasa tunawatafutia muarobaini.
 
Kujaza form hamjui hiyo katiba mtaombea kwa nani hali jk aliweka mkatoka nduki mkijuwa mtashinda uchanguzi na lowassa wenu mwisho kawaacha solemba huko na makelele yenu

Kati ya watu wa ovyo ni pamoja na wewe!!
Tafadhali jipige kifuani kuthibitisha hilo!
 
Huwa mie nashangaa sana CCM kujinasibu kwamba wanafanya mambo makubwa mpaka wanakubalika,cha kushangaza uchaguzi wanafanya figisu kibao kuwaengua wapinzani,kama wanafanya mazuri why waogope wapinzani ambao miaka mi4 hawafanyi siasa zozote?
Halafu mpaka leo hawajajua siasa zilivyo, siasa haitaki nguvu, siasa ni kama kinyonga mfano mzuri ni hapo Kenya ni nani kiongozi wa Kenya hakuwahi kuwa mwana Kanu? nafikiri kinachobadirika ni herufi tu za majina ya vyama lkn viongozi ni walewale.
 
Kuongozwa na mtu asiyekuwa na busara na hekima ni kitu kibaya sana na kina madhara sana kwa taifa.
 
Kabisa mkuu hivi vitu viwili tume huru ya uchaguzi na katiba mpya vinawabeba sana chama cha kijani ukijumlisha na polisi, tiss ndio kabisa, sasa tunawatafutia muarobaini.
Bila haya kutekelezwa
Vyama vya upinzani watakuwa wanapiga rangi upepo tu

Ova
 
Great..
1. Katiba mpya
2. Time guru ya uchaguzi
3. Utawala Wa sheria
4. Kila mhimili kujitegemea
5. Hekima, Umoja na amani vitamalaki
6. Utu Wa watu
7. Wananchi ndio wawe na sauti juu ya serikali yao
Uelewa mdogo na unyonge wa wananchi ndicho chanzo cha viongozi walio madarakani kutupuuza wananchi. Katiba mpya wananchi tuliiona kwamba ni jukumu la viongozi wa vyama tukisahau kuwa kuna wananchi wengi ambao si wafuasi wa vyama vya siasa ambao nao pia wanaihitaji katiba mpya. Nchi zote duniani zinatakiwa ziongozwe kwa matakwa ya wananchi na wananchi wasiporidhika wana haki ya kuwaondoa madarakani viongozi wao. Tanzania jukumu la kupata katiba mpya tumewaachia viongozi wa vyama! Hili ni kosa kubwa, ni sisi wananchi kwa umoja wetu ndiyo tuitake serikali itupe katiba mpya.
 
Sawa jukumu la katiba mpya ni watanzania wote, ila lazima wawepo watu wenye kuonyesha njia, kushawishi, kuonyesha mbinu na mipango ya kuipata, wananchi wakishawishiwa watashiriki tu, sio kwamba wananchi wote ni mbumbumbu, Mazezeta, waoga, wapo majasiri na wapo tayari tatizo ni viongozi wa upinzani kutokuonyesha njia.
 
Upinzani mkiteleza hapa itakula kwenu!
Yaani wapinzani wakikubali kurudi kwenye uchaguzi wowote ule bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hututawaelewa ndio tutakapojua ni wasaliti wa watanzania na wachumia tumbo a.k.a wajasilia siasa na tukatafuta viongozi wengine wapya kabisa wa upinzani hawa hututataka tuwaone tena.
 
Bila haya kutekelezwa
Vyama vya upinzani watakuwa wanapiga rangi upepo tu

Ova
Safari hii vyama vya upinzani wajiangalie sana watanzania tumechoka ujinga wa kuongozwa na chama cha kijani, wawe siriasi kama upinzani hawauwezi, waache waje watu wasiowaoga waongoze jalamba, maana kama wana akili wameona tu ccm ilivyohaha baada ya wao kujitoa, hapo ndio wajue mbinu imefanya kazi na hakuna kinachoshindikana, wanaokwamisha mabadiliko Tanzania ni viongozi wa upinzani waoga, wabinafsi, wachumia tumbo a.k.a wajasilia siasa na wasio na msimamo.
 
Back
Top Bottom