Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

Tatizo waapinzani wa bongo hawana msimamo.. utashangaa watakapobadili gia.angani.. baada ya muda mfupi wananza.kulalamika..
 
Yaani ni bora kugomea tu uchaguzi wote watu wapambane kivingine kumuondoa mkoloni mweusi kama Nyerere alivyopambana kumuondoa mzungu na kupata uhuru,Wapinzani wapambane UNO,WB,HRI etc kudai haki.
Kabisa Mkuu hawa wakoloni wa kijani kibichi waliotuharibia nchi watolewe madarakani.
 
Tatizo waapinzani wa bongo hawana msimamo.. utashangaa watakapobadili gia.angani.. baada ya muda mfupi wananza.kulalamika..
Aisee sisi watanzania tunawapimia tu, wameshatuchezea sana hawa wapinzani, kama upinzani umewashinda wawaachie watanzania wanaoweza kuongoza upinzani.
 
Baada ya ccm na serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.

Asiyekuwa na fedha ni Baba yako alimchukua Mama yako bureeee
 
Huwa mie nashangaa sana CCM kujinasibu kwamba wanafanya mambo makubwa mpaka wanakubalika,cha kushangaza uchaguzi wanafanya figisu kibao kuwaengua wapinzani,kama wanafanya mazuri why waogope wapinzani ambao miaka mi4 hawafanyi siasa zozote?
Commander SAVIMBI kula mbaba,umetisha
 
Nec haisimamii uchaguzi wa serikali za mitaa msichanganye madesa humu subililini hadi mwakani tume isimamie uchaguzi mkuu 2020 muongee
 
Baada ya ccm na serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
Sioni hili likitokea.

Sio kwamba silitaki litokee, lakini ni jambo lisilowezekana kabisa kwa sasa bila ya mabadiliko ya kuitikisa nchi katika muda huu mfupi uliosalia kufikia uchaguzi, Oktoba 2020.
 
Asiyekuwa na fedha ni Baba yako alimchukua Mama yako bureeee
We Pimbi wa kijani Jikite kwenye mada, nani amezungumzia fedha, muwe mnasoma na kuelewa, eti nyie ndio mnaojua kujaza fomu, kusoma tu hapa umeshindwa nani kazungumzia fedha Pimbi kweli wewe.
 
We Pimbi wa kijani Jikite kwenye mada, nani amezungumzia fedha, muwe mnasoma na kuelewa, eti nyie ndio mnaojua kujaza fomu, kusoma tu hapa umeshindwa nani kazungumzia fedha Pimbi kweli wewe.

We punguani tulia dawa ikuingie taratibu
 
Sioni hili likitokea.

Sio kwamba silitaki litokee, lakini ni jambo lisilowezekana kabisa kwa sasa bila ya mabadiliko ya kuitikisa nchi katika muda huu mfupi uliosalia kufikia uchaguzi, Oktoba 2020.
Yote yanawezekana ndugu yangu kikubwa nia na mshikamàno. Sio lazima kufanya uchaguzi 2020, bora wapinzani wasishiriki uchaguzi huo, lakini wakaendelea na madai ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Na ndio pointi yangu hasa yaani wasishiriki uchaguzi haramu huu wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao mpaka tume huru na katiba mpya ipatikane.
 
Walishindwa kidai enzi za mkapa na Jakaya wataweza leo?
Kwani leo kuna nini itadaiwa tu na itapatikana, kama Jiwe alisalimu amri kwa mabeberu wa kiarabu akarudisha dhahabu na askari waliotumwa hiyo dhahabu akaambiwa awaachie na akawaachia, Jiwe ulishawahi kumuona ana huruma hiyo? Kibano. Sasa Kibano cha wananchi ndio mtakubali wewe na Jiwe wenu.
 
Nec haisimamii uchaguzi wa serikali za mitaa msichanganye madesa humu subililini hadi mwakani tume isimamie uchaguzi mkuu 2020 muongee
Hakuna kuchanganya madesa wala nini wahuni, wavurugaji wa uchaguzi, wizi wa kura, wavunjaji wa sheria, kanuni ni wale wale, msimamo ni kwamba hakuna kushiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru na katiba mpya ipatikane ni pamoja na huu, huulewi nini?
 
Back
Top Bottom