Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Marais wa Afrika ni vichaa! Unawezaje kuiamini dawa ambayo wataalam wenu hawajaifanyia majaribio kwanza? Kuna kichaa mwingine amesema kuwa anatuma ndege Madagascar ikachukue dawa, swali langu ni je wataalam wake wameshaifanyia majaribio hiyo dawa na kujiridhisha kuwa inatibu Corona au ni yale ya kikombe cha babu yanajirudia?
 
Mkuu hii namba haibadiki worldometer inasema saiz cases zipo 149 na kumekuwa na sudden rise kwa mfano jana tu kuna cases mpya 14 with null recovery pia hatujui efficiency ya hizo dawa
Screenshot_20200504-093529.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata babu wa loliondo tulienda hivihivi. Kelele zote kua yule babu nuksi tukasema hapa tukaonekana wajinga. Leo hii babu kageuka janga aliua watu kibao. Hata jiwe alienda kupokea kikombe. Leo nawaambia hilo nalo ni ushenzi, kama ni dawa kweli madagascar ina wataalamu, awaweke pamoja wafanye research kama ni kweli au la, waseme kwa nini dawa hiyo inatibu covid, wametest kwa watu wa ngapi, kama ni kweli hata mimi nitatoa mamilioni watanzania wapewe bure.
 
Chige,
Inaonekana aidha thinking capacity yako ndogo au ubongo wako umejaa kamasi, JPM amewahi kudhibitisha kujifukiza kunatibu Corona?, Alisema hakuna dawa ya Corona kwahiyo tujaribu hata kujifukiza. Na kuna waliojifukiza wakapona. Kwahiyo kwa akili yako kwasababu alishaongelea kujifukiza WHO wakitangaza dawa leo JPM asitoke kuwatangazia wananchi wake?, Ndo maana huwa nasema humu UCCM na UCDM unawafanya wengi humu muwe WAPUMBAVU.
 
Kwahiyo unaamini lile lichupa linatibu covid? Yale yataletwa mnakunywa kama maji biashara inaendelea. Yani dawa imegunduliwa na mtu hajafanya utafiti wowote nyie mnaenda kubeba mzigo bila hata kuifanyia utafiti? Mkiendekeza ujinga mtakufa wote ooohoo. Ila kama mlienda kunywa ule uchafu wa Loliondo siwezi kuwashangaa.
Chuo kilichotafiti hii dawa kimeanzishwa hata Tanganyika haijapata uhuru, 1957, sijui unasema kitu gani. Kama huna taarifa sahihi sio lazima uchangie hoja. Tatizo la waafrika aina yako ni kudharau juhudi zinazofanywa na waafrika wenzako ktk sayansi ya tiba. Hizi ni fikra za kikoloni. Kabla ya wazungu waafrika babu zetu waliishi vipi kupambana na maradhi/magonjwa ya milipuko kama corona? Walitumia miti shamba yetu. Na kwa ufupi, hiki chuo kilichogundua/tafiti hii dawa ni wasomi wakubwa wa dawa za asili. Afrika itajengwa na waafrika wenyewe. Muda wa kuendelea kutegemea wazungu na mataifa makubwa unakaribia kuisha, huu ni wakati wa kutumia resources za kiafrika kwa kiwango cha juu kabisa. Lets make Africa great again.
 
Vipi ile mlio igundua nyinyi ile ya kujifukizia? Hamjaaza kupata order?

In God we Trust
Uzi wako ni mzuri Ila utauharibu mwenyewe kwa kuingiza tabia zako za kike za kipashkuna, mwishowe utakosa maana. Ni Kama umeanzisha Uzi ili kusutana. Hivi wewe ni ME au KE?
 
Chuo kilichotafiti hii dawa kimeanzishwa hata Tanganyika haijapata uhuru, 1957, sijui unasema kitu gani. Kama huna taarifa sahihi sio lazima uchangie hoja. Tatizo la waafrika aina yako ni kudharau juhudi zinazofanywa na waafrika wenzako ktk sayansi ya tiba. Hizi ni fikra za kikoloni. Kabla ya wazungu waafrika babu zetu waliishi vipi kupambana na maradhi/magonjwa ya milipuko kama corona? Walitumia miti shamba yetu. Na kwa ufupi, hiki chuo kilichogundua/tafiti hii dawa ni wasomi wakubwa wa dawa za asili. Afrika itajengwa na waafrika wenyewe. Muda wa kuendelea kutegemea wazungu na mataifa makubwa unakaribia kuisha, huu ni wakati wa kutumia resources za kiafrika kwa kiwango cha juu kabisa. Lets make Africa great again.
Mkuu kila nikikutana nao akili hizi huwa siwakopeshi nawaita WAPUMBAVU live sisubiri kesho. Kwanza wanalack Exposure, knowledge na upeo wao upo chini. Smartphone zao na laptop ni kwaajili ya kuleta siasa za CCM na CDM kila sehemu. Hata ku google kuongeza maarifa hawataki. Tuwavumilie na kuwaelimisha taratibu wataelewa.
 
Hata babu wa loliondo tulienda hivihivi. Kelele zote kua yule babu nuksi tukasema hapa tukaonekana wajinga. Leo hii babu kageuka janga aliua watu kibao. Hata jiwe alienda kupokea kikombe. Leo nawaambia hilo nalo ni ushenzi, kama ni dawa kweli madagascar ina wataalamu, awaweke pamoja wafanye research kama ni kweli au la, waseme kwa nini dawa hiyo inatibu covid, wametest kwa watu wa ngapi, kama ni kweli hata mimi nitatoa mamilioni watanzania wapewe bure.
Kasema yote hayo ila huwezi kujua kwasababu upo bize kuleta siasa mavi za CCM na CDM. Vijana wengi wa kitanzania mmekuwa WAPUMBAVU sana sababu ya Siasa mavi.
 
Madagascar wanajua kutumia fursa kwasabababu wanauchumi wanasema tatizo la mwenzako ww kwako ni biashara

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
 
Chuo kilichotafiti hii dawa kimeanzishwa hata Tanganyika haijapata uhuru, 1957, sijui unasema kitu gani. Kama huna taarifa sahihi sio lazima uchangie hoja. Tatizo la waafrika aina yako ni kudharau juhudi zinazofanywa na waafrika wenzako ktk sayansi ya tiba. Hizi ni fikra za kikoloni. Kabla ya wazungu waafrika babu zetu waliishi vipi kupambana na maradhi/magonjwa ya milipuko kama corona? Walitumia miti shamba yetu. Na kwa ufupi, hiki chuo kilichogundua/tafiti hii dawa ni wasomi wakubwa wa dawa za asili. Afrika itajengwa na waafrika wenyewe. Muda wa kuendelea kutegemea wazungu na mataifa makubwa unakaribia kuisha, huu ni wakati wa kutumia resources za kiafrika kwa kiwango cha juu kabisa. Lets make Africa great again.
Sisi ni waafrika na tunabaki kuwa hivyo kama hutaki unaacha. Ile dawa sina imani nayo na siwezi kuitumia maana nina elewa. Chuo kuanzishwa mwaka 1957 siyo ishu. Mbona hakifahamiki? Kimewahi kuja na maajabu mangapi?
 
Kama inatibu nasi wavumbuzi wake wawe makini maana wataitwa huko WHO,wakirudi ni watu watarajiwa
 
another Loliondo scam, si mnajua mzee baba anahususdu hayo mambo, hata Loliondo alikuwa ni miongoni mwa watu wa kwanza kutia timu
 
Tuwache dharau na kuibeza corona, bali tuchukue tahadhali na kuwashauri wananchi wetu waiogope corona.

Equatorial Guinea's Deputy Minister of Health, Mitoha Ondo'o arrived in Madagascar to take packages of Madagascar's Coronavirus medicine, Covid-19 Organics back to Equatorial Guinea.

Madagascar
Number of Covid-19 cases 128

Recovered 92
Active 36
Deaths. 0View attachment 1439349

In God we Trust
Nasisi tumeshatuma zetu
 
Back
Top Bottom