Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Tatizo la waafrica tumetokea kwenye mitishamba halafu tunajifanya hatuamini mitishamba,hiyo mitishamba ingeibuliwa na mzungu saa madagaska ingekuwa haikamatiki kwa order halafu tusisahau wazungu wanaagiza kimya kimya bila kupiga kelele kama maraisi wetu wa Africa na kwenda kuifanyia majaribio kwao kiundani zaidi!
 
Wakati sisi tuna tangaza VPL kuanza wenzetu wanazidi kuwa tahadhalisha raia wao wawe makini
Madagascar ni noma, imeinuaka, imeangaza, inasonga kifua mbele

In God we Trust
 
Wazungu hawataki kushindwa
Huenda ndio maana mmarekani alikuwa akitia kidomodomo kuhusu hiyo dawa alivyoona inaenda kuwa Soo kaona atoe dawa na yeye[emoji28][emoji848]

In God we Trust
 
Vipi ile mlio igundua nyinyi ile ya kujifukizia? Hamjaaza kupata order?
Tatizo la waafrica tumetokea kwenye mitishamba halafu tunajifanya hatuamini mitishamba,hiyo mitishamba ingeibuliwa na mzungu saa madagaska ingekuwa haikamatiki kwa order halafu tusisahau wazungu wanaagiza kimya kimya bila kupiga kelele kama maraisi wetu wa Africa na kwenda kuifanyia majaribio kwao kiundani zaidi!

In God we Trust
 
Hamna dawa mle. Haya majani yapo sana mbona? Yanatumika kama dawa ya tumbo na hayana uhusiano na mapafu kabisaa
Jikakamue mkuu ulete na yakwako, Sisi tunachotaka ni kupona sio braabraa unazotaka kutuimbia hapa
 
Jikakamue mkuu ulete na yakwako, Sisi tunachotaka ni kupona sio braabraa unazotaka kutuimbia hapa
Kwahiyo unaamini lile lichupa linatibu covid? Yale yataletwa mnakunywa kama maji biashara inaendelea. Yani dawa imegunduliwa na mtu hajafanya utafiti wowote nyie mnaenda kubeba mzigo bila hata kuifanyia utafiti? Mkiendekeza ujinga mtakufa wote ooohoo. Ila kama mlienda kunywa ule uchafu wa Loliondo siwezi kuwashangaa.
 
Naona wazee wanakula kikombe cha MadaGaska.
Na aliyegundua amegundua kwa sampuli hiyo hiyo ya babu wa Loliondo. Sipati picha kama kipindi kile cha Babu Magufuli ndo angekuwa Rais. Hiiiiiiii
 
Back
Top Bottom