Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Madagascar kuwa mkombozi wa dunia?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Tuwache dharau na kuibeza corona, bali tuchukue tahadhali na kuwashauri wananchi wetu waiogope corona.

Equatorial Guinea's Deputy Minister of Health, Mitoha Ondo'o arrived in Madagascar to take packages of Madagascar's Coronavirus medicine, Covid-19 Organics back to Equatorial Guinea.

Madagascar
Number of Covid-19 cases 128

Recovered 92
Active 36
Deaths. 0
Screenshot_20200504-083534.jpeg


In God we Trust
 
Mimi kanishangaza Magufuli tu...

Juzi kati tu hapa katutangazia nyungu inaponya coronavirus... na kama kawaida, kuna watu walishangilia kwa vifijo na nderemo!

Siku chache baadae, Waziri wa Magufuli nae akaeleza ni namna gani angependa tuwe na Siku ya Nyungu ya Kitaifa!! Kwa kumuunga mkono Magufuli, watu wakaanza kupiga nyungu huku wakisambaza video mitandaoni!

Hapo tukawaona baadhi ya Wabunge wa CCM, Wachungaji, na wajinga wajinga wengine mitandaoni wakionesha kupiga nyungu!!

Hata wiki mbili hazijapita, Magufuli yule yule anatangaza tena kutaka kupeleka ndege Madagascar kufuata dawa ya coronavirus!

Sasa ya nini kuingia gharama ya kupeleka ndege hadi Madagascar wakati tayari Tanzania tuna nyungu?! Hiyo ndege si bora isafiri mikoani kukusanya malimao ili watu tupige nyungu!!

Dah, yaani nawahurumia sana wakazi wanaoishi maeneo yenye simba na fisi, manake mjomba simba au fisi akila mkono wa mtu mmoja tu, hapo kijijini lazima wapige kambi kutokana na utamu wa nyama iliyopigwa hadi malimao!
 
Hapo ndiyo uamini kabisa kuwa zile tafiti za TWAWEZA hawakukosea ndiyo maana mkurugenzi wao alisakamwa vya kutosha

In God we Trust
 
Mkuu Mshana Jr, vipi wewe kwanini usiitumie hii fursa ili kujiongezea kipato maana kwenye mambo ya mambo ya asili upo vizuri!
Fursa.. Mabeberu wakiikubali tu... Madagascar sio mwenzetu tena

Jr[emoji769]

In God we Trust
 
Mmawia, Hamna dawa mle. Haya majani yapo sana mbona? Yanatumika kama dawa ya tumbo na hayana uhusiano na mapafu kabisaa
 
Back
Top Bottom