kabisa.... wanatakaga wa rise wao tuWawe makini na Mabeberu yanaweza kuua wavumbuzi
Mkuu wamekuachia lini maana nasikia uchukua majani ya bangi ukataka kwenda kujifukiza!Vipi ile mlio igundua nyinyi ile ya kujifukizia? Hamjaaza kupata order?
In God we Trust
Hii movie haina tofauti na ile ya Babu wa Loliondo. Hakuna dawa hapo Ni upuuzi mtupu na kwenye akili kuliko kuharibu mafuta yako ya ndege eti unaenda kubeba huo uchafu Ni Bora ununue vifaa vya wauguzi tu
Ili ujiamini inabidi usiwe na deni?
Yani kama una deni hutakiwa hata kuthamini mambo yako? Mpka mdai wako akufanyie.?
Sent using Jamii Forums mobile app
exactlyMtishamba wenyewe ni Sayansi japo haifanyikii maabara.
Mwangalieni huyu Juha...Chige,
Inaonekana aidha thinking capacity yako ndogo au ubongo wako umejaa kamasi, JPM amewahi kudhibitisha kujifukiza kunatibu Corona?, Alisema hakuna dawa ya Corona kwahiyo tujaribu hata kujifukiza. Na kuna waliojifukiza wakapona. Kwahiyo kwa akili yako kwasababu alishaongelea kujifukiza WHO wakitangaza dawa leo JPM asitoke kuwatangazia wananchi wake?, Ndo maana huwa nasema humu UCCM na UCDM unawafanya wengi humu muwe WAPUMBAVU.
Na kwa bahati mbaya zaidi, na wenyewe hamna tumaini lolote zaidi ya hao hao Wazungu!
Sasa kila Rais atayeibuka na kutangaza xyz inatibu corona, nami nijaribu! Hivi hawa wa sasa wana tofauti gani na ex-Gambian President, Yahya Jammeh ambae alitangaza kuwa na dawa ya UKIMWI?!Chige,
Mku jaribu njia zote huwezi jua ipi iko more reactive
Yaani utadhani wamerogwa!!Chige,
Na sasa wanaanza kuimba mapambio ya dawa ya Madagascar
nyungu haijaingia maabara ila ile bwana manana imeingia maabaraMimi kanishangaza Magufuli tu...
Juzi kati tu hapa katutangazia nyungu inaponya coronavirus... na kama kawaida, kuna watu walishangilia kwa vifijo na nderemo!
Siku chache baadae, Waziri wa Magufuli nae akaeleza ni namna gani angependa tuwe na Siku ya Nyungu ya Kitaifa!! Kwa kumuunga mkono Magufuli, watu wakaanza kupiga nyungu huku wakisambaza video mitandaoni!
Hapo tukawaona baadhi ya Wabunge wa CCM, Wachungaji, na wajinga wajinga wengine mitandaoni wakionesha kupiga nyungu!!
Hata wiki mbili hazijapita, Magufuli yule yule anatangaza tena kutaka kupeleka ndege Madagascar kufuata dawa ya coronavirus!
Sasa ya nini kuingia gharama wakati tayari Tanzania tuna nyungu?!
Mwenzake Guinea Bissau Katia timu
Madagascar reimposes lockdown in capital as coronavirus cases surgeSayansi haijawahi kushinda mitishamba [emoji12]
Jr[emoji769]