Na ulipataje muda wa kufuatilia posts zao na muda wanaopost... If I may ask. Na je anayeandika na anayesoma kwa wakati huohuo ni nani hana muda?.... Humlishi hakulishi... Kama amekukera mpotezee, kama kakufurahisha jiunge naye.... Na hili ndilo neno la ODM.
Mimi niliinwa Tarakea tulipoenda kucheza mpira na Namfua Secondary. Nyeupeee. Wanaweka ulezi kwa kubania. Mbege is much better.
Afu kama nahisi kaharufu ka kikwapa cha Afrodenzi.... Hebu nleteeni haka kabinti, kuna ukaguzi flani hivi sikuufanya.
Kama atakubali. Itabidi mjadiliane hilo.
:behindsofa:Its just a feeling. I hope its not. Maana nimeshamwona Kongosho anadadisi kiaina.
:spy::spy:Kongosho ndio zake.
Mi nlidhani ungefurahi kama ningekua dada yako.
Hutaki kukusanya mahari JF?
Sio ndio hapa najaribu kufurahi? Lakini kama ni kweli trip ya vekeshi Malawi inabidi ife. Sitahimili kumwona dada yangu anavuliwa nguo live.
Labda na yeye anahitaji kozi ya internet. Dena Amsi atakuwa na wanafunzi wengi.
:behindsofa:
:spy::spy:
:shut-mouth::A S embarassed::shut-mouth:
topic hii imenifungua macho mwanamke huyu anaevutia waliowengi including mwe hajaolewa waooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo lizzzzzzzy.
je umewahi kufikiria kuwa hao wanaojibu
thread hata hawaishi tz ? Saa nane ya usiku tz ni lunch time huko waliko ..
Si kila mwana jf anaishi bongo wakuu ..
ila hapana aisee. . . Mi nataka siti tena first class nitulie kwa raha zangu. Sio nisimame huku mikono nayo inachoka kujishikiza nisianguke.
Its just a feeling. I hope its not. Maana nimeshamwona Kongosho anadadisi kiaina.
Kongosho ndio zake.
Mi nlidhani ungefurahi kama ningekua dada yako.
Hutaki kukusanya mahari JF?
Sio ndio hapa najaribu kufurahi? Lakini kama ni kweli trip ya vekeshi Malawi inabidi ife. Sitahimili kumwona dada yangu anavuliwa nguo live.
Say something darling. . . Spying and hiding won't fikisha ujumbe.
Jamani dearest wewe sindie mkubwa. . . nipe mwongozo bana.
Nahisi Eliza wa Tegeta another ID vile au macho yangu ya uzee
Naona unawashwa :mimba:
Halafu kumbe umekwama wapi? Mbona masaa yeshaenda hivi na bibi kanipigia simu kunitaarifu kashafika kwao? Usisahau kuja na matokeo ya ule mchezo tulocheza jana usiku...
Ila hapana aisee. . . mi nataka siti tena first class nitulie kwa raha zangu. Sio nisimame huku mikono nayo inachoka kujishikiza nisianguke.