Madada wa vyuo vikuu na ndoto za kuolewa na vibopa wakati amesomeshwa na mwenza wake ambaye ni hoe hae

Mama na Dada MTU wangetakiwa wachomwe kama mishikaki ndo amalize na huyo msupuu .... ***** zao.
 
Sasa kwann wanakubaki mwanzoni. Kama mtu unajua huna future nae mbeleni. Mteme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimuita jamaa dhaifu,hilo neno lime cost maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwa waseja wote kama unatakakuoa mwanamke mwenye kiwango cha elimu kuanzi degree na kuendelea, fizia kipindi cha mahafali ya vyuo utawapata tu wapo wengi.
Lakini hii tabia ya kuchukua majukumu ya HELSB kulipia mtu ada na mambo mengine ukitegemea malipo ya ndoa yatakukuta ya Patrick.
Waseja wote kaeni mkijua jukumu la kusomesha mtoto ni la mzazi wake na kama umeamua kujitolea kumsomesha mtu fanya kama unatoa sadaka usitegemee malipo ya aina yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…