lutambijuma
Member
- Mar 21, 2016
- 70
- 54
Mchumba hasomeshwi
Huwezi mpenda mtu NUSU NUSU kama mdao hapo alivyodai..ukipenda unatakiwa uingie mzima mzima kwanza ndio uta enjoy mahaba ..huku kupenda kwa kipimo cha mangi Wala huto enjoy kitu.
Kwa kuwa mimi ni binadamu nishachukua matibabu mapema. Am fine now.
Amekoma, harudii tena.
Sasa kwann wanakubaki mwanzoni. Kama mtu unajua huna future nae mbeleni. MtemeNi mambo ya ajabu kumusomesha MTU kwa ajili ya kumuoa. Hii no blackmail. Kama unasomesha msomeshe tu akila kona endelea na mambo yako. Kwa sababu kuchukua maamuzi aliyochukua inazihilisha ana mapungufu makubwa ya kushindwa kuzimiliki hisia zake. Na mazala yake ataishia jera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mambo ya ajabu kumusomesha MTU kwa ajili ya kumuoa. Hii no blackmail. Kama unasomesha msomeshe tu akila kona endelea na mambo yako. Kwa sababu kuchukua maamuzi aliyochukua inazihilisha ana mapungufu makubwa ya kushindwa kuzimiliki hisia zake. Na mazala yake ataishia jera.
Sent using Jamii Forums mobile app