Madada wa vyuo vikuu na ndoto za kuolewa na vibopa wakati amesomeshwa na mwenza wake ambaye ni hoe hae

Kilichopelekea kifo cha huyo dada alimuita Patrick ni mtu wa daraja d na ni DHAIFU,

Jamaa kamaa Baba Jeni vile kakamatia mashine,Sema kazingua angeongezea hata tatu zifike hamsini
 
Huyo ndo mwanaume sasa!!
Sio hawa wanaume wa dar eti me mwenzako moto hauzimi! Wenzake wanauzima guest
 
Angepiga hesabu ya gharama zake zote alizotumia, huyo tajiri alipe jamaa atambae zake
 
Sasa kwann wanakubaki mwanzoni. Kama mtu unajua huna future nae mbeleni. Mteme

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga ndiyo aliwae. Inatakiwa tuwe makini na kila maamuzi tunayochukua kwa maana wazungu husema kuwa. ( incorrect assessment can cost your time, money and your happiness). Fanya assessment kabula ya kuchukua maamuzi. Amemuua aliyemukataa pia na yeye amepoteza muda, pesa na furaha yake na bado yupo mikononi mwa police pamoja na kupoteza hayo. Who is the loser?
 
All of them
 
All them. Unadhani atafufuka? Kila mtu amepoteza ndoto zake hapo, ila mwanamke amepoteza zaidi muda wake kusoma, na elimination aliyoipata na ndoto ya kibopa kumuoa
Mjinga ndiyo aliwae. Inatakiwa tuwe makini na kila maamuzi tunayochukua kwa maana wazungu husema kuwa. ( incorrect assessment can cost your time, money and your happiness). Fanya assessment kabula ya kuchukua maamuzi. Amemuua aliyemukataa pia na yeye amepoteza muda, pesa na furaha yake na bado yupo mikononi mwa police pamoja na kupoteza hayo. Who is the loser?
 
Kila mtu asomeshe mtoto wake, sasa Patrick alikuwa mzazi au nani? Serikali yenyewe haisomeshi mtu kizembezembe hivyo licha ya kuwa na pesa inayopata bure.
 
Angetenda wema aende zake.. na sio kumtoa uhai..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wema kwa mtu aliyechezea maisha yako ni unafiki hata maandiko yanakataa, Ukisoma kitabu cha

✠✺ Mathayo 7:12 Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii. ✠✺

Kwa maana hiyo alichofanyiwa huyo dada ni haki yake aliistahili kabisa,hakupaswa kutendewa jema ikiwa tayari alishatendewa na akataka kulipa ubaya.

Basi kilichofanywa na Patrick ndio kilitakiwa kufanywa,hata akishtakiwa kwa mauaji bado ana haki duniani na mbinguni hana dhambi juu ya hilo.

Provocation ilihusika kumfanya achukue uamuzi wa kumuua huyo dada hivyo akikutana na jaji mcha Mungu kifungo chake hakitazidi miaka 7 au chini ya hapo na baadae anaweza kutoka kwa msamaha.

Roho mbaya ni pale unaposaidiwa na mtu masikini ili baadae mje muishi wote maisha mazuri alafu baada ya kufanikiwa unamkataa na kumuona takataka. Kwa roho hii huwezi kusamehewa labda Mwenyezi Mungu mwenyewe ndio aamue.

Mnyonge huyo hajatoa adhabu kwa utashi wake, kuna wakati Mungu anatoa funzo kwa njia hizo ili kuwakumbusha watu kuna malipo ya kutenda mabaya kwa wenzetu
 
Pumbafu kabisa watu tumesomesha Ulaya, USA tukapigwa chini na harusi tukahudhuria vizuri tu.

tena si mara moja mara kibao tunafanyiziwa. tunawaombea zaidi.

amini usiamini nina mafanikio na mke bomba si mchezo, na zile ndoa hazikudumu wala uzao hakuna ni watoto wangu wanatamba tu.

sasa wakinialika siendi tena ila nawasomesha tu. kutemwa ile ni dawa ya mafaniko tulizana sana.
 
Kamuua kifo kirahisi hivyo..angemfukia MZIMA MZIMA afie huko ndani ya shimo....Mi ndo mana wadudu kama nnzi wakinikera nikimdaka mmoja huwa sim pigi kofi afe..Namdaka natoa miguu yote natoa mabawa Yote halafu namwachia akajitaftie maisha.

Yani hata wadudu kama mmbu kuwa ua na HIT au RUNGU tunawapendelea sana,wanakera mno Raha ni kudaka kuwatoa mabawa na kuwa acha wapambane na hali zao.

Safi sana ndugu Patrick Oita Nyapara ..umekosea tu kumrahisishia Kifo Huyo angetakiwa afe taratiiiibu huku akikumbuka alokufanyia.
Daaah! Wakurya hatare!
 
Back
Top Bottom